BENEDICT BONIFACE
JF-Expert Member
- Aug 31, 2013
- 284
- 473
Tatizo lilikua hapo.. ila siyo sasa hivi mkuu! Hao madogo wamekaa pamoja kwa zaidi ya miaka miwili sasa na lazima wakae pamoja kwa sababu ndiyo watakao tumika mwakani kwa ajili ya AFCON itakayofanyika Tz.Wakairudi, wanaachwa wanakwenda kiendelea kula ugali, kesho tunailaumu stars.
Hatuna mipango kabisa asee
Kama hivyo ni sawa.Tatizo lilikua hapo.. ila siyo sasa hivi mkuu! Hao madogo wamekaa pamoja kwa zaidi ya miaka miwili sasa na lazima wakae pamoja kwa sababu ndiyo watakao tumika mwakani kwa ajili ya AFCON itakayofanyika Tz.
Kweli mkuu.. Alliance schools ndiyo wame walea, Jamaa wako serious mpaka Kagame amesema ataleta vijana wake na amewa ita Kigali awape eneo wafungue shule ukoKama hivyo ni sawa.
Maana huwezi kuwa na kitu imera kisicho kuwa na uwiano, wala ushirikiano
Hapo tu ndo kulikua tatizo langu.Kweli mkuu.. Alliance schools ndiyo wame walea, Jamaa wako serious mpaka Kagame amesema ataleta vijana wake na amewa ita Kigali awape eneo wafungue shule uko