Mkuu, kunywa panado vidonge viwili, na maji mengi, kisha upumzike kwa kulala kidogo!Kodi lazima ilipwe na watu wote wa dini zote, makabila yote na hata mashabiki wa timu zote.
Inafahamika kuwa taifa la Tanzania limegawanyika kati ya wanaume na wanawake, wakristo na waislam na pia mashabiki wa Simba na Yanga. Hii inamaanisha kuwa kwenye jambo la kitaifa usiingize jinsia, ukabila, udini wala ushabiki wa simba na yanga.
Cristine Mwagala msemaji wa timu ya TRA alisema ni heri kufungwa na Simba kuliko kufungwa na yanga, na kweli walifungwa na Simba magoli 3 kirahisi kabisa. Hii maana yake wanainajisi kazi ya timu ya TRA ya kuhamasisha watanzania wote kulipa kodi zao. Timu hii ya TRA lazima ibaki neutral kati ya Simba na Yanga ili lengo la TRA kumiliki timu liwe na maana kwenye kuhamasisha kulipa kodi; ilipaswa iwe ni timu ya watanzania wote, inayopendwa na watanzania wote. Hali ilivyo sasa itachukiwa na wanayanga wote ambao ni zaidi ya nusu ya walipakodi Tanzania.
TRA lazima imfukuze kazi Cristina Mwagala na viongozi wengine ambao walikuwa Tabora United kwakuwa bado wana fikra zilezile za Tabora United ambazo zina malengo tofauti na TRA ya sasa. Wanaendesha timu kwa bifu badala ya kuwaleta walipakodi pamoja.
Hatupokei wa hivi bwasheeMirembe Mental Health Hospital ~Dodoma
Lutindi Mental Health Hospital ~Korogwe
Mchukueni Haraka Mpelekeni Akale Dawa
Huna hoja rudi kajiange upya ndo urudi hapa, hilo jina la timu ndo linakuzuzua? Vipi kuhusu Mtibwa Sugar, Dodoma Jiji, JKT, Pamba na zingine nyingi zenye majina ya taasisi???Kodi lazima ilipwe na watu wote wa dini zote, makabila yote na hata mashabiki wa timu zote.
Inafahamika kuwa taifa la Tanzania limegawanyika kati ya wanaume na wanawake, wakristo na waislam na pia mashabiki wa Simba na Yanga. Hii inamaanisha kuwa kwenye jambo la kitaifa usiingize jinsia, ukabila, udini wala ushabiki wa simba na yanga.
Cristine Mwagala msemaji wa timu ya TRA alisema ni heri kufungwa na Simba kuliko kufungwa na Yanga, na kweli walifungwa na Simba magoli 3 kirahisi kabisa. Hii maana yake wanainajisi kazi ya timu ya TRA ya kuhamasisha watanzania wote kulipa kodi zao.
Timu hii ya TRA lazima ibaki neutral kati ya Simba na Yanga ili lengo la TRA kumiliki timu liwe na maana kwenye kuhamasisha kulipa kodi; ilipaswa iwe ni timu ya watanzania wote, inayopendwa na watanzania wote. Hali ilivyo sasa itachukiwa na wanayanga wote ambao ni zaidi ya nusu ya walipakodi Tanzania.
TRA lazima imfukuze kazi Cristina Mwagala na viongozi wengine ambao walikuwa Tabora United kwakuwa bado wana fikra zilezile za Tabora United ambazo zina malengo tofauti na TRA ya sasa. Wanaendesha timu kwa bifu badala ya kuwaleta walipakodi pamoja.
Pamba ya Mwanza msimu uliopita viongozi wakuu wote walitangaza kukaa pembeni wakati wakijiandaa kupambana na Yanga.Kodi lazima ilipwe na watu wote wa dini zote, makabila yote na hata mashabiki wa timu zote.
Inafahamika kuwa taifa la Tanzania limegawanyika kati ya wanaume na wanawake, wakristo na waislam na pia mashabiki wa Simba na Yanga. Hii inamaanisha kuwa kwenye jambo la kitaifa usiingize jinsia, ukabila, udini wala ushabiki wa simba na yanga.
Cristine Mwagala msemaji wa timu ya TRA alisema ni heri kufungwa na Simba kuliko kufungwa na Yanga, na kweli walifungwa na Simba magoli 3 kirahisi kabisa. Hii maana yake wanainajisi kazi ya timu ya TRA ya kuhamasisha watanzania wote kulipa kodi zao.
Timu hii ya TRA lazima ibaki neutral kati ya Simba na Yanga ili lengo la TRA kumiliki timu liwe na maana kwenye kuhamasisha kulipa kodi; ilipaswa iwe ni timu ya watanzania wote, inayopendwa na watanzania wote. Hali ilivyo sasa itachukiwa na wanayanga wote ambao ni zaidi ya nusu ya walipakodi Tanzania.
TRA lazima imfukuze kazi Cristina Mwagala na viongozi wengine ambao walikuwa Tabora United kwakuwa bado wana fikra zilezile za Tabora United ambazo zina malengo tofauti na TRA ya sasa. Wanaendesha timu kwa bifu badala ya kuwaleta walipakodi pamoja.
Kuna tofauti kati ya Pamba fc na TRA fc. TRA fc ni timu kwaajili ya visibility ya mamlaka ya kodi nchini, yenye malengo ya kuwahimiza na kuwakumbusha watu kulipa kodi. Viongozi wa timu hii wanapaswa kulijua hili. Hii sio timu kama ya Simba au Yanga ambazo zinahasimiana nje na ndani ya uwanja. TRA ni timu inayopaswa kutandaza kandanda safi uwanjani bila kutoa maneno ya shombo yatakayowaudhi walipakodi wao. Cristine Mwagala anafanya kama vile yuko Tabora United. Viongozi wa TRA wanapaswa kuwa mabalozi wa kodi nchini badala ya kukumbwa na wimbi la Simba na yanga. Wajue kuwa hii ni timu inayoendeshwa na kodi za wananchi, hivyo hatutarajii kuina ikiroga, kupanga mechi wala kuegemea simba au yanga.Pamba ya Mwanza msimu uliopita viongozi wakuu wote walitangaza kukaa pembeni wakati wakijiandaa kupambana na Yanga.
Baada ya Aziz na mobeto kufunga ndoa,Singida walichezesha kikosi cha pili kwenye mechi iliyopigwa KMC complex.
Yale magoli magumu ya set piece utafananisha na yale mlomfunga Singida mabeki wa kukabab kwa macho?Kodi lazima ilipwe na watu wote wa dini zote, makabila yote na hata mashabiki wa timu zote.
Inafahamika kuwa taifa la Tanzania limegawanyika kati ya wanaume na wanawake, wakristo na waislam na pia mashabiki wa Simba na Yanga. Hii inamaanisha kuwa kwenye jambo la kitaifa usiingize jinsia, ukabila, udini wala ushabiki wa simba na yanga.
Cristine Mwagala msemaji wa timu ya TRA alisema ni heri kufungwa na Simba kuliko kufungwa na Yanga, na kweli walifungwa na Simba magoli 3 kirahisi kabisa. Hii maana yake wanainajisi kazi ya timu ya TRA ya kuhamasisha watanzania wote kulipa kodi zao.
Timu hii ya TRA lazima ibaki neutral kati ya Simba na Yanga ili lengo la TRA kumiliki timu liwe na maana kwenye kuhamasisha kulipa kodi; ilipaswa iwe ni timu ya watanzania wote, inayopendwa na watanzania wote. Hali ilivyo sasa itachukiwa na wanayanga wote ambao ni zaidi ya nusu ya walipakodi Tanzania.
TRA lazima imfukuze kazi Cristina Mwagala na viongozi wengine ambao walikuwa Tabora United kwakuwa bado wana fikra zilezile za Tabora United ambazo zina malengo tofauti na TRA ya sasa. Wanaendesha timu kwa bifu badala ya kuwaleta walipakodi pamoja.
Ulifatilia sababu zake kwanini alisema heri kufungwa na SIMBA SC kuliko na UTO.Kodi lazima ilipwe na watu wote wa dini zote, makabila yote na hata mashabiki wa timu zote.
Inafahamika kuwa taifa la Tanzania limegawanyika kati ya wanaume na wanawake, wakristo na waislam na pia mashabiki wa Simba na Yanga. Hii inamaanisha kuwa kwenye jambo la kitaifa usiingize jinsia, ukabila, udini wala ushabiki wa simba na yanga.
Cristine Mwagala msemaji wa timu ya TRA alisema ni heri kufungwa na Simba kuliko kufungwa na Yanga, na kweli walifungwa na Simba magoli 3 kirahisi kabisa. Hii maana yake wanainajisi kazi ya timu ya TRA ya kuhamasisha watanzania wote kulipa kodi zao.
Timu hii ya TRA lazima ibaki neutral kati ya Simba na Yanga ili lengo la TRA kumiliki timu liwe na maana kwenye kuhamasisha kulipa kodi; ilipaswa iwe ni timu ya watanzania wote, inayopendwa na watanzania wote. Hali ilivyo sasa itachukiwa na wanayanga wote ambao ni zaidi ya nusu ya walipakodi Tanzania.
TRA lazima imfukuze kazi Cristina Mwagala na viongozi wengine ambao walikuwa Tabora United kwakuwa bado wana fikra zilezile za Tabora United ambazo zina malengo tofauti na TRA ya sasa. Wanaendesha timu kwa bifu badala ya kuwaleta walipakodi pamoja.
Sasa acha kulipa kodi uone joto lake ukijaa kwenye mfumo.Kuna tofauti kati ya Pamba fc na TRA fc. TRA fc ni timu kwaajili ya visibility ya mamlaka ya kodi nchini, yenye malengo ya kuwahimiza na kuwakumbusha watu kulipa kodi. Viongozi wa timu hii wanapaswa kulijua hili. Hii sio timu kama ya Simba au Yanga ambazo zinahasimiana nje na ndani ya uwanja. TRA ni timu inayopaswa kutandaza kandanda safi uwanjani bila kutoa maneno ya shombo yatakayowaudhi walipakodi wao. Cristine Mwagala anafanya kama vile yuko Tabora United. Viongozi wa TRA wanapaswa kuwa mabalozi wa kodi nchini badala ya kukumbwa na wimbi la Simba na yanga. Wajue kuwa hii ni timu inayoendeshwa na kodi za wananchi, hivyo hatutarajii kuina ikiroga, kupanga mechi wala kuegemea simba au yanga.
Kwa ilivyo sasa inanuka shombo la Simba. Hasa pale unapomsikia kiongozi wa timu akisema ni heri wafungwe na Simba kuliko kufungwa na Yanga. Kuna kodi tena hapo au upuuzi tu unaokwenda kinyume na matarajio ya TRA kuwa na timu ya mpira wa miguu? hata Azam kama inataka wateja wengi wanunue bidhaa zao lazima wacheze kandanda safi bila kuwa na upande wowote wa simba au yanga.
Timu kama TRA, KMC, JKT, Prisons, Mashujaa ni timu za wananchi wote, zinapaswa kucheza kandanda safi bila kubebwa na upepo wa Simba na Yanga.
JKT ni timu ya watanzania wote, lakini umuhimu wake sio kama wa TRA. Malengo ya JKT sio kuhamasisha vijana wajiunge na JKT maana hakuna uhaba wa vijana kujiunga na JKT. Lakini TRA ni tofauti sana.Kwa hiyo na Masau Bwire wa JKT inayojumhisha watanzania wote afukuzwe baada ya kuisifia yanga?
Itakulazimu uende TRA ukawaulize ni kwanini waliamua kutumia kodi zetu kuwa na timu ya mpira. Hapo ndipo utakuja kulinganisha na uhovyo wa akina Christine Mwagala kama unaendana na vision na mission ya timu ya TRA.Sasa acha kulipa kodi uone joto lake ukijaa kwenye mfumo.
Yaani uache kulipa kodi kisa TRA imefungwa na timu ya kimataifa au kwa maneno ya msemaji wa TRA.
Aisee mbona unaliaibisha Taifa wewe,Wakenya wakisoma huu uharo wako unatupa kazi yakupambana nao kwenye majukwaa mengine huko.
Maana unaonesha uzwazwa wako binafsi wao wanaujumuisha kwa wote.
Unaongea ujinga. Mwagala alipaswa kuwa na takwimu juu ya walipakodi wangapi ni mashabiki wa Yanga au Simba ndio aje na upuuzi wake ule. Pia anatakiwa kujua kwanini TRA imeamua kumiliki timu ya mpira wa miguu.Ulifatilia sababu zake kwanini alisema heri kufungwa na SIMBA SC kuliko na UTO.
Haujui SIMBA SC katika rank ya timu bora Africa ipo namba ngapi na UTO namba ngapi.
Haujui kuwa kucheza na SIMBA SC ni bahati kubwa sana hapa duniani.