Timu ya TRA inanuka Simba, haifai kuhamasisha ulipaji kodi

Taifa haligawanyiki kwa jinsia,dini, kabila la wananchi wake. Taifa ni moja, likiunganishwa na uzalendo wa watu wake wenye uhuru wa kufuata dini yoyote ambayo ndiyo muhimu kuliko ushabiki mwingine wowote. Mbovys simba, yanga, yanakuzwa nakutakia kupewa umuhimu usiokuwepo. Msilipe Kodi, tuone huo umuhimu wenu ukoje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…