Timu yenye washambuliaji wakali zaidi WC 2018

Angalia washambuliaji wa Argentina msimu huu [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Brazil akichukua kombe la Dunia nitafurahi sana.
Maombi yangu yote pamoja familia yapo kwa braziiiiil.
 
Di MarΓ­a - 22 goals
HiguaΓ­n - 27 goals
Messi - 47 goals
Icardi - 29 goals
Dybala - 26 goals
AgΓΌero - 31 goals


Safu ya ushambuliaji Argentina imefunga jumla ya magoli 182.

Tukutane kwa Putin.


Huu Uzi Utakuwa Mali Ya Washabiki Wa Barcelona & Real Madrid

By the way! Hivi Ikiwa Hao Washambuliaji Wote 6 wataanza Kwenye FXI inamana Timu haitakuwa na Mabeki wala Viungo?

Hapo na Migoli Yao Mengi basi Wengine Benchi litawahusu na Watacheza Kulingana Performance yao Ya Kila Mchezo.

Ni Messi Peke Yake Hapo Ndiye Mwenye Uhakika na Kucheza Mechi Zote Hata Kama ataumwa au atashuka Performance.
 
wawili hawakuwepo euro 2016(spain,France?..Final ilikuwa nani na nani,N who lost?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…