Timu yenye washambuliaji wakali zaidi WC 2018

Timu yenye washambuliaji wakali zaidi WC 2018

Di María - 22 goals
Higuaín - 27 goals
Messi - 47 goals
Icardi - 29 goals
Dybala - 26 goals
Agüero - 31 goals


Safu ya ushambuliaji Argentina imefunga jumla ya magoli 182.

Tukutane kwa Putin.
But na timu yenye chemistry mbovu duniani haijawahi tokea..Tukutane kwa Putin
 
Hivi Ni Vigenzo Gani Madogo Munavyotumia Hata Mukaiweka Spain katika Nafasi Ya Kuchukua Ubingwa?
 
Hiyo timu kocha afanye maamuzi magumu awapige benchi Higuain na Di Maria.
Dyabala na Icardi wapewe nafasi.
 
Argentina ina washambuliaji wa kutisha sana, ila hawaendani.

The best thing to do as an Argentina coach ni kupiga chini number 9 wote hapo juu.

Unachezesha viungo watatu wa nguvu, pale mbele unaweka hawa jamaa watatu Messi, Dybala na Dimaria wanacheza zig zag moja hatari bila number 9.

Lazima kinuke
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom