Timu za Coastal Union na African Lyon zarejea ligi kuu ya Vodacom Bara (VPL) msimu wa 2018/19

Timu za Coastal Union na African Lyon zarejea ligi kuu ya Vodacom Bara (VPL) msimu wa 2018/19

Afadhali tuwe na timu hapo ligi kuu.. Usajili ufanyike kwa makini bila kusahau kuondoa wazee wa figisu mpira sasa ni tofauti.
 
hii timu inasemekana ni ya wadigo!,na hawataki kabila lingine lijipendekeze kwny hii timu ....hii ni dhambi kubwa iliwatafuna mpk wakashuka daraja wakiendelea nayo watarudi walipotoka
Mambo hayo hakuna tena timu ya wana Tanga wote:
 
Weka mbali na watoto ngoja wapate mzamini mapesa ya wekwe hapo. Ndio utajua majungu na fitna za wanatanga.
Nakumbuka mwaka ilipo shuka hii n kwajili ya kupigania pesa za wazamini tu.
 
Hongereni....sisi Kilimanjaro sijuii nani alituloga...next time Polisi Tanzania wakikaza wanaeza panda. Ni muda sana hatujashuhudia VPL ndani ya Moshi town. Nimeumia kwa kwelii
 
Tanga ndio iliyokuwa center ya mpira Tanzania, tuliongoza Africa Mashariki kwa miaka mingi, Timu ya Taifa ilikuwa lazima iwe na sio chini ya wachezaji 4 ama 5 kutoka Tanga I.e. Omari na Swalehe Zimbwe, Rashid Seif, Mbwana Abushiri, Mbwana Mtoto, Mahadhi,And Allan Lou, Mweri Simba, Mohamed Salim, Yanga Bwanga n.k.

Tanga ndio ilikuwa Sao Paulo ya EA. Tujitahidi kurudisha sifa na heshima zetu.
 
Sasa ni wakati wa kutafuta "consortium" ya uhakika ili timu hii yenye historia yake iweze kudhibiti historia hiyo.
 
Mmebebwa hakuna lolote hamtachua hata mda mtarudi mlikotoka .mlikuwa mnafunga magoli hadi ya mkono nyie mmebebwa kwa pernart kila mechi smh
 
hii timu inasemekana ni ya wadigo!,na hawataki kabila lingine lijipendekeze kwny hii timu ....hii ni dhambi kubwa iliwatafuna mpk wakashuka daraja wakiendelea nayo watarudi walipotoka
Kwani na Ummy ni mdigo ila kama kweli wapunguze udigo maana wasambaa na makabila mengine ni muhim ili kupata ushindi
 
Back
Top Bottom