Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,587
Mambo hayo hakuna tena timu ya wana Tanga wote:hii timu inasemekana ni ya wadigo!,na hawataki kabila lingine lijipendekeze kwny hii timu ....hii ni dhambi kubwa iliwatafuna mpk wakashuka daraja wakiendelea nayo watarudi walipotoka
Hiyo ni mpya..hawa coastal Union walikuwepo na shughuli yake inajulikana Kwa vigogo.Mbona KMC imepanda ila haiongelewi
Tanga rahaMmebebwa hakuna lolote hamtachua hata mda mtarudi mlikotoka .mlikuwa mnafunga magoli hadi ya mkono nyie mmebebwa kwa pernart kila mechi smh
Kwani na Ummy ni mdigo ila kama kweli wapunguze udigo maana wasambaa na makabila mengine ni muhim ili kupata ushindihii timu inasemekana ni ya wadigo!,na hawataki kabila lingine lijipendekeze kwny hii timu ....hii ni dhambi kubwa iliwatafuna mpk wakashuka daraja wakiendelea nayo watarudi walipotoka