kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Timu za jeshi ni vigumu kwao kuchukua ubingwa kutokana na kutumia wachezaji wa ndani ya nchi tu. Badala yake Zalisheni wachezaji wengi zaidi wa kuziuzia timu nyingine kwa bei kubwa. Hii itawezekana kwa jeshi kuwa na vitalu vingi vya kukuzia vipaji vya watoto wenye umri tofauti tofauti. Biashara hii itawaingizia fedha pamoja na kusaidia timu za taifa kupata wachezaji walioandaliwa kitaalam wangu utotoni.
Hapa lazima mtafute kocha mzuri haya kama ilibidi watoke nje ya nchi.
Hapa lazima mtafute kocha mzuri haya kama ilibidi watoke nje ya nchi.