Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Tulipinga wakati ule fainali ya shirikisho kupelekwa Unguja, kwa vile tulijua ule ni mwanzo wa mambo yanayokuja.
Kisoka Zanzibar ni Nchi nyingine, hakuna sababu yoyote ya Maana au ya Kijinga ya kupeleka ligi ya NBC kutoka Tanganyika na kuihamishia Zanzibar.
Kimsingi TFF ya Karia inaleta siasa za kijinga sana kwenye Soka letu, Hata hivyo hatutakubali, Maana Karia atang'oka lakini TFF itabaki.