Timu za Ligi kuu ya Bara (NBC) ruksa kutumia viwanja vya Zanzibar

Timu za Ligi kuu ya Bara (NBC) ruksa kutumia viwanja vya Zanzibar

Kwa hiyo tunaweza pia viwanja vya Kenya?
Mimi siyo msemaji wa TFF ila aliyeanzisha uzi kapotosha maana halisi swali fikirishi kwako je unaijua nchi ya kenya ikowapi na utaratibu wa kwenda huko ukoje nimeona kichwa cha habari hii, (title), kufanyiwa marekebisho
 
Mleta mada samahan sio kila habar ya chuki unaoleta tutakusapoti ..ligi kuuzwa ndio nn sasa .yaani koloni letu litusumbue ? Afu mechi ikifanyika uko ndio italeta mazara gan kwa bara ?
Jamaa/binti ana chuki sana na serikali hii.
 
Zanzibar ni mbali kijiografia
Assume team kutoka Kagera au kigoma, Mara ichezwe Zanzibar sio fair
Zanzibar ni nchi nyingine
TFF unafanya haya ili kuwafurahisha kizimkazi
 
TTF + BODI YA LIGI hawafai hata kidgo wanazipendelea sana timu kubwa haingii akirini Timu itoke MTWARA , timu itoke KIGOMA, timu itoke KAGERA TIMU ITOKE MWANZA alafu eti IENDE KUCHEZA na yanga au Simba.huko Zanzibar angalia umbali na gharama za timu hizo za kutoka mikoa ya mbali hata kama mzamini anatoa pesa hizo pesa hazitoshi.....Huo pia ni umaskinia wa vilabu vya Simba na Yanga Kila mwaka vinabeba makombe ila vinashindwa kujenga viwanja vyao.. kiongozi wa TTF umefeli kuendesha mpira wetu Kwani Moira unaendesha Kwa siasa , upendeleo, urohoo wa pesa eti kombe la ngao ya jamii ni Lina timu NNE wapi na wapi?? upendeleo wa ukanda umetalawa kwenye kuendesha mpira wa nchii
 
Zanzibar ni mbali kijiografia
Assume team kutoka Kagera au kigoma, Mara ichezwe Zanzibar sio fair
Zanzibar ni nchi nyingine
TFF unafanya haya ili kuwafurahisha kizimkazi
VIONGOZI WA TFF NA BODI YA LIGI HAWANA HAYO MAONO...WAPO KWA AJILI YA KUPENDELEA TIMU KUBWAA..
SULUHUSHO NI KUHAKIKISHA KLABU INAKUWA NA UWANJA WAKE SIYO ETI SIMBA NA YANGA HAZINA VIWANJA
 
Back
Top Bottom