Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Bei anajua KariaBei gani yauzwa?
Kutumia viwanja vya Zanzibar na siyo kuhamishiwa Zanzibar, ni kweli tuna uwezo tofauti wa uelewaTulipinga wakati ule fainali ya shirikisho kupelekwa Unguja, kwa vile tulijua ule ni mwanzo wa mambo yanayokuja...
Na chanzo cha haya yote ni timu yako ya simba kama sijakosea.Tulipinga wakati ule fainali ya shirikisho kupelekwa Unguja, kwa vile tulijua ule ni mwanzo wa mambo yanayokuja...
Simba inahusikaje?Na chanzo cha haya yote ni timu yako ya simba kama sijakosea.
Ndiyo iliyoanza hizo chokochoko msimu uliopita wa ligi, za kutaka kwenda kucheza baadhi ya mechi zake Zanzibar! Ila kwa bahati mbaya kanuni hazikumruhusu.Simba inahusikaje?
Unadhani jambo hilo ni sahihi?Ndiyo iliyoanza hizo chokochoko msimu uliopita wa ligi, za kutaka kwenda kucheza baadhi ya mechi zake Zanzibar! Ila kwa bahati mbaya kanuni hazikumruhusu.
Sasa amesawazishiwa njia.
Utajua tarehe 8Simba inahusikaje?
Sisi yellow national π π tutachezea ChamaziNi Azam,Simba na Yanga ndio watacheza Zanzibar tena mechi za kimkakati, ambazo zikifika muda wake tutalalamika sana
Kuna mechi itaenda kule ki mkakatiSisi yellow national π π tutachezea Chamazi
Kutumia viwanja vya Zanzibar na siyo kuhamishiwa Zanzibar, ni kweli tuna uwezo tofauti wa uelewa
Ni suala tu la muda.Unadhani jambo hilo ni sahihi?