TTF + BODI YA LIGI hawafai hata kidgo wanazipendelea sana timu kubwa haingii akirini Timu itoke MTWARA , timu itoke KIGOMA, timu itoke KAGERA TIMU ITOKE MWANZA alafu eti IENDE KUCHEZA na yanga au Simba.huko Zanzibar angalia umbali na gharama za timu hizo za kutoka mikoa ya mbali hata kama mzamini anatoa pesa hizo pesa hazitoshi.....Huo pia ni umaskinia wa vilabu vya Simba na Yanga Kila mwaka vinabeba makombe ila vinashindwa kujenga viwanja vyao.. kiongozi wa TTF umefeli kuendesha mpira wetu Kwani Moira unaendesha Kwa siasa , upendeleo, urohoo wa pesa eti kombe la ngao ya jamii ni Lina timu NNE wapi na wapi?? upendeleo wa ukanda umetalawa kwenye kuendesha mpira wa nchii