Wakuu,
Kama soka hairuhusiwi kujichanganya na mambo ya siasa na serikali, sasa wawakilishi wa Simba na Yanga wanafanya nini kwenye Mkutano Mkuu wa CCM?
Wakikilishi wa Yanga Eng. Hersi na mwenzake wameenda kwenye mkutano huu kwaajili ya nini? Kuwashawishi wapenzi wa soka kuipigia kura CCM?
Si hao FIFA watufungie shughuli zote za soka hata mwaka mmoja tuone kama hawa viongozi na mashabaki wataendelea kwenda kwenye mikutano ya CCM.
Hii inaonesha bila makundi haya ya wasanii CCM hamna kitu, ni debe kubwaaaa tupu ambalo halichi kutika!
View attachment 3205142