Pre GE2025 Timu za mpira zinafanya nini kwenye Mkutano Mkuu wa CCM? Ndio malipo ya 'Goli la Mama'?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Umemsahau Jakaya!?
 
Umepoteza kumbukumbu boss, hizi tabia za kuingiza siasa, nyingi zilishika kasi wakati wa Magufuli. Chini ya utawala wa magufuli kila taasisi na sekta mbalimbali zilishurutishwa kuonyesha zinamuunga mkono rais. Ndio wakati kila mwananchi au mkuu wa taasisi akiongea jambo ni lazima amtaje Magufuli, tena kwa majina yake matatu. Hivyo huu upuuzi muasisi wake mkuu ni dhalimu Magufuli.
 
Sasa hv mama yupo madarakani, haya niambie
 
Ni haki yao kikatiba , hata wewe mshabiki wa makolo ni haki yako pia kuwa chama ulicho . Fatilia hata kina katumbi basi
 
Hersi ni mwana ccm na atagombea hapo dodoma huku mdhamini wake akiwa gsm
 
we umeona timu za mpira tu wakati timu mpaka za jogging , achilia mbali viongozi wa madhehebu ya dini na vyama vya siasa nchini.
wamefurahi sana aise 🐒
 
Hujui kuwa hii inchi ni shamba la bibi mkuu
 
Eng. Hers na boss wako mmevuna mlichopanda, ikiwa leo ndio siku ya mwisho hamkupaswa kuondoka Dodoma, lkn matokeo yake mkakimbilia Dodoma, msimlaumu mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…