Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hakuna haja ya kurudia kueleza kinachoendelea nchini Africa kusini , kila mtu amejionea , wageni wanachomwa moto hadharani huku polisi wanachekelea
View attachment 1198294
Ikiwa kama tutaruhusu timu zao ziende mashindanoni nchi zingine ni wazi visasi vitalipwa , njia pekee ya kuzuia hili ni kuziondoa timu zao kwenye michuano ya CAF
Hivi wanavyosema mpira ni chanzo cha Amani duniani, au wewe unataka kuubadili mpira kua ni chanzo cha machafukoHakuna haja ya kurudia kueleza kinachoendelea nchini Africa kusini , kila mtu amejionea , wageni wanachomwa moto hadharani huku polisi wanachekelea
View attachment 1198294
Ikiwa kama tutaruhusu timu zao ziende mashindanoni nchi zingine ni wazi visasi vitalipwa , njia pekee ya kuzuia hili ni kuziondoa timu zao kwenye michuano ya CAF
Majuto ni mjukuu , Zambia imefuta game ya kirafiki kati yake na South AfricaHivi wanavyosema mpira ni chanzo cha Amani duniani, au wewe unataka kuubadili mpira kua ni chanzo cha machafuko
Hujui usemaloKama hauna kibali cha kuishi au kufanya kazi nchi za watu yakikukuta unalalamikia nini..yani hadi unashindwa kukimbilia ubalozini sababu wewe ni mvamizi wa nchi ya watu.
Kwa wale ndugu zangu wa East Africa nawashauri mrudi nyumbani,kama mmepata au kukosa bado huku kuna maisha.
#BACK TO HOME.
ππππGwamyeto ludi nyumbani kumenoga usije fia nchi za watu bongo tambalale
Hakuna haja ya kurudia kueleza kinachoendelea nchini Africa kusini , kila mtu amejionea , wageni wanachomwa moto hadharani huku polisi wanachekelea
View attachment 1198294
Ikiwa kama tutaruhusu timu zao ziende mashindanoni nchi zingine ni wazi visasi vitalipwa , njia pekee ya kuzuia hili ni kuziondoa timu zao kwenye michuano ya CAF
kwa hali ilivyo yaweza kutokea mauaji ya kisasiUtakuwa upumbavu.wala FIFA hawawezi kukubali mawazo ya kipumbavu kama haya.Mpira upo kwa ajili ya amani.Tena hata ukizizuia timu kisha ndo nini kitokee.
Timu zinasaport ubaguzi?Au hujui ukizifuta timu za SA ndo utkuwa ubaguzi wenyewe?