Timu za Soka za Afrika Kusini ziondolewe kwenye michuano yote ya CAF ili kulinda usalama wa wachezaji

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hakuna haja ya kurudia kueleza kinachoendelea nchini Africa kusini , kila mtu amejionea , wageni wanachomwa moto hadharani huku polisi wanachekelea
FB_IMG_1567630276493.jpg

Ikiwa kama tutaruhusu timu zao ziende mashindanoni nchi zingine ni wazi visasi vitalipwa , njia pekee ya kuzuia hili ni kuziondoa timu zao kwenye michuano ya CAF
 
Iyo sio njia ..njia ni kuwafanya raia wao kama walivyo fanya kwa raia wa kigeni ,malipo ni hapa hapa duniani
 
Hakuna haja ya kurudia kueleza kinachoendelea nchini Africa kusini , kila mtu amejionea , wageni wanachomwa moto hadharani huku polisi wanachekelea
View attachment 1198294

Ikiwa kama tutaruhusu timu zao ziende mashindanoni nchi zingine ni wazi visasi vitalipwa , njia pekee ya kuzuia hili ni kuziondoa timu zao kwenye michuano ya CAF

Inasemekana picha na video zinazozunguka kwenye mitandao ya kijamii si za vurugu hizi za sasa. Zingine za miaka ya nyuma, zingine si za South Africa. Bottom line ni kuwa kuna vurugu zinaendelea, ila baadhi ya hizi picha ni kwa ajili ya kutuongezea hasira tu.
 
Hakuna haja ya kurudia kueleza kinachoendelea nchini Africa kusini , kila mtu amejionea , wageni wanachomwa moto hadharani huku polisi wanachekelea
View attachment 1198294

Ikiwa kama tutaruhusu timu zao ziende mashindanoni nchi zingine ni wazi visasi vitalipwa , njia pekee ya kuzuia hili ni kuziondoa timu zao kwenye michuano ya CAF
Hivi wanavyosema mpira ni chanzo cha Amani duniani, au wewe unataka kuubadili mpira kua ni chanzo cha machafuko
 
Majuto ni mjukuu , Zambia imefuta game ya kirafiki kati yake na South Africa
 
Kama hauna kibali cha kuishi au kufanya kazi nchi za watu yakikukuta unalalamikia nini..yani hadi unashindwa kukimbilia ubalozini sababu wewe ni mvamizi wa nchi ya watu.
Kwa wale ndugu zangu wa East Africa nawashauri mrudi nyumbani,kama mmepata au kukosa bado huku kuna maisha.
#BACK TO HOME.
 
kumbe wazungu walikuwa sahihi kuwabagua siyo kufuta michezo watengwe kama wakati ule walivyotengwa wakati wa ubaguzi hakuna kufanya nao biashara wala kushirikiana nao kwa namna yoyote ndio watashika adabu
 
Siku chache zijazo nilikuwa niende sehemu via OT, lakini namna hii ntapita kwa Jirani zetu.
 
Kama hauna kibali cha kuishi au kufanya kazi nchi za watu yakikukuta unalalamikia nini..yani hadi unashindwa kukimbilia ubalozini sababu wewe ni mvamizi wa nchi ya watu.
Kwa wale ndugu zangu wa East Africa nawashauri mrudi nyumbani,kama mmepata au kukosa bado huku kuna maisha.
#BACK TO HOME.
Hujui usemalo
 
South Africa sio salama kufanya kazi. CAF waviruhusu vilabu vyote vya Afrika kusini viwatoe kwa mkopo wachezaji wao wote wa kigeni kama tulivyoona kwa Uhuru Selemani kapelekwa Kongo, hata kina James Kotei watolewe kwa mkopo kuja Yanga.
 
Hakuna haja ya kurudia kueleza kinachoendelea nchini Africa kusini , kila mtu amejionea , wageni wanachomwa moto hadharani huku polisi wanachekelea
View attachment 1198294

Ikiwa kama tutaruhusu timu zao ziende mashindanoni nchi zingine ni wazi visasi vitalipwa , njia pekee ya kuzuia hili ni kuziondoa timu zao kwenye michuano ya CAF

Yani Hawa Black wa South walitafuta Uhuru kutoka kwa Wazungu! Hatimae wao Black wamekuwa Wabaguzi kwa Black Wenzao
 
Utakuwa upumbavu.wala FIFA hawawezi kukubali mawazo ya kipumbavu kama haya.Mpira upo kwa ajili ya amani.Tena hata ukizizuia timu kisha ndo nini kitokee.
Timu zinasaport ubaguzi?Au hujui ukizifuta timu za SA ndo utkuwa ubaguzi wenyewe?
 
kwa hali ilivyo yaweza kutokea mauaji ya kisasi
 
Back
Top Bottom