Nimeona timu ya Madagascar ilivyo cheza na Taifa Star na Harambee Stars , kwamba wapo vizuri kimpira kuliko Timu yetu na ya Watani zetu (ingawa Timu ya Watani wa Jadi wapo Bora kuliko yetu kwamba Ben McCarthy Kwa Muda mfupi amewabadili Harambee Stars na Wana cheza Kwa malengo ), Madagascar Wana cheza Kwa malengo na ndio maana wanapata, matokeo.
Hata timu ya Sudan ilivyo cheza na Algeria mechi ya robo fainali, imeonekana wana cheza Kwa malengo na ndio kitu kime sababisha wapate matokeo, licha ya kwamba Kwa sasa nchi Yao wanakabiliwa na vita vya wenyewe Kwa wenyewe.
Na hata Leo hii nchi yetu ikicheza na Eritrea au Ethiopia, utaona kwamba wenzetu Wana cheza Kwa malengo , wakati Sisi , makocha wetu wanashindwa kujenga timu ikacheza Kwa malengo. Kwa washambuliani wengi umaliziaji bado sio nzuri, ukiachia Mzize, ambaye bila kulishwa au tuseme timu kucheza Kwa malengo, inakuwa ngumu kwa Timu kupata matokeo.