Kwanza niipongeze timu ya taifa ya mpira wa miguu ya cameroon kwa kupindua meza jana 5.02.2022 dhidi ya timu ya taifa ya burkinafaso baada ya kutoka nyuma kwa mabao 3 kwa bila na ndani ya dakika 20 za mwisho wakasawazisha na hatimaye kupata ushindi wa penalt kwenye mashindano ya afcon kumtafuta mshindi wa 3 ambapo leo ndio fainal.
Tukirudi kwenye mada kama sikosei timu hizi 2 cameroon na senegal ndio timu pekee zilizofika robo fainali ya kombe la dunia tena muda mrefu umepita.Tokea hapo hakuna tena hata hizo zenyewe nilizozitaja yaani cameroon na senegal hazijafua dafu.
Timu za afrika zinashindwa hata kufika 16 bora ya kombe la dunia ukiacha hiyo robo fainali.Sijui tunakwama wapi.Tunaishia kuruka ruka tu na kuzunguka humu humu kwenye mashindano ya afrika ya vilabu na mataifa.Tukifika kombe la dunia tunaishia kwenye makundi.Tatizo nini.
Tuna wachezaji wazuri wanaocheza ulaya na wenye vipaji lkn tunashindwa 'kuadvance'.Kama mi muongo subiria mwaka huu uone kwenye kombe la dunia huko Qatar. Ndio maana mwaka huu sijafuatilia kabisa mashindano ya afcon.Sijaangalia mechi hata moja labda leo kwenye fainali.Halafu sipendagi kupoteza usingizi wangu kwa vitu vya ajabu ajabu.Haiwezekani miaka yote hakuna 'kuadvance'
Tunapiga kwata tu hapo hapo. Kwenye maisha lazima kuwepo na kuadvance.Tatumia hili neno leo.Huwezi kukaa sehemu moja tu lazima kuwepo na kuadvance au kusonga mbele wanaita kanyaga twende.
Nitoe mfano kidogo niwapongeze pia Mbeya city kwa kuonyesha kitu fulani kuwa wanaadvance.Wameonyesha ukomavu fulani yaani kuadvance.Hata mtangazaji mmoja wa tv aliliona hili jana.Kama wakiendelea hivo itakuwa vizuri.
Katika afrika kuna timu ya taifa ya Misri huwa siielewi kabisa inapofika kwenye mashindano ya kombe la dunia.Huwa wanakuwa wachovu sana wamechoka hoi kama nyanya hakuna kitu wanachoonyesha kuwa wameenda kutafuta yaani wanakuwa tofauti na unavowaona kwenye mashindano ya afrika.Sijui ni tatizo la saikoloji au nini.
Misri wako vizuri afrika lakni nje ya hapo mmh!!
Ndio maana kwenye title yangu nimeweka timu ya taifa ya cameroon na senegal ziungane basi tupate timu nzito itakayokwenda kuonyesha ushindani kwenye kombe la dunia na sio kushiriki.
Nimejaribu kuwaza labda kwa muungano huu tunaweza tukatoboa kombe la dunia angalau kufika tena robo fainali. Hawa wawili wote wanaitwa Simba.Simba wesioshindika Camerron na Simba wa Teranga Senegal.