Timu za Taifa za Pooltable zatinga nusu fainali Wanaume na Wanawake

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
TIMU za Taifa za mchezo wa Pooltable Waanaume na Wanawake wamefanikiwa kuingia nusu fainali baada kuvuka hatua na makundi kwa timu za Wanaume na Wanawake.

Timu ya Wanaume imefanikiwa kuingia nusu fainali kwa kuzifunga timu ya Kenya 13-9, Uganda 13-8 na Zimbabwe 13 -6.

Nusu fainali ambayo kwa sasa inaendelea ni Tanzania na Afrika Kusini wakati nusu fainali ya pili ni wenyeji Zambia na Uganda.

Upande wa Wanawake pia Tanzania imefanikiwa kuingia nusu fainali ambapo inacheza na Afrika Kusini pia.

Kocha wa timu ya Taifa ya Pool, Denis Rungu mwenye uraia wa Zambia ametamba kurudi na ushindi wa kishindo Tanzania kwa jinsi alivyoandaa vikosi viwili vyote vya timu ya Wanaume na Wanawake.

Nchi saba zimefanikiwa kushiriki mashindano hayo ya Pool Afrika ambazo ni Afrika Kusini, Zimbabwe, Kenya, Uganda, Swaziland, Tanzania na Wenyeji Zambia ambapo Nchi zote zimewakilisha na timu ya Wanaume na Wanawake.

Mahindano hayo yanatarajiwa kumalizika 06/03/2022 huko Lusaka Zambia.
IMG_20220305_183236_807.jpg
 
View attachment 2140059
KILA lenye kheri kwao
 
Back
Top Bottom