mdau umeongea point sana,ila sina uhakika kama wahusika watakubali,kupunguza idadi ya wachezaji wa kigeni wanaosajiliwa let say wawe watano kwa timu moja,lakini kwenye mechi moja wacheze si zaidi ya wawiliMarefa wetu wanajenga stress kwa watz na kuwabeba wageni as if hao wageni ni bora kumbe ovyo tu.Mwangalie Wanga,pamoja na Azamu kutumia pesa nyingi kumsajili amekua butu kabisa.Tujenge tabia ya kuthamini vyakwetu.Bado tunavijana wazuri TFF ilazimishe timu husika watz wapewe nafasi zaidi.mf.ajib,msuva,Jeba,malika ndeule,lyanga nk.
Acha unazi maandazi wewe,kama hujui hujui tuu.Nikweli mdau unayoongea.Ila pia jaribu kuangalia swala la ushabiki wa marefa linavyoumiza wachezaji.mf.kijana wetu mtz ajibu jana anamtoka beki kwenda kuziona nyavu anapigiwa filimbi na kadi juu.Huyu ni mtz mwenye kipaji kikubwa lakini tunaua kipaji chake.Tazama Ngoma anvyobebwa na marefa,akiguswa tu inatolewa red kadi.Unadhani kwa hisia hizi za kuwaona wageni ni bora kuliko wakwetu tutatengeniza stricker bora?