Timu za Tanzania hazina washambuliaji

Timu za Tanzania hazina washambuliaji

TANZANNIA

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2015
Posts
1,047
Reaction score
385
pamoja sio mpenzi sana wa mpira,lakini nimegundua kipaji cha ufugaji magoli kwa wachezaji wa tanzania kimeyeyuka,ukiangalia wachezaji wanaoongoza kwa ufungaji wa magoli katika timu zetu asilimia kubwa ni wachezaji toka wa kigeni,kiiza,tambe.tchetche nk.inafikia mahali magoli ya mchezaji mmoja wa kigeni wa timu fulani,yanakuwa ni mengi kuliko magoli ya wachezaji wa kitanzani wa timu fulani ukiyachanganya yote kwa pa 1,tutegemee kupanda kwenye renki ya soka duniani?tutatengenezaje timu ya taifa kwa mtindo huu,
 
Nikweli mdau unayoongea.Ila pia jaribu kuangalia swala la ushabiki wa marefa linavyoumiza wachezaji.mf.kijana wetu mtz ajibu jana anamtoka beki kwenda kuziona nyavu anapigiwa filimbi na kadi juu.Huyu ni mtz mwenye kipaji kikubwa lakini tunaua kipaji chake.Tazama Ngoma anvyobebwa na marefa,akiguswa tu inatolewa red kadi.Unadhani kwa hisia hizi za kuwaona wageni ni bora kuliko wakwetu tutatengeniza stricker bora?
 
Marefa wetu wanajenga stress kwa watz na kuwabeba wageni as if hao wageni ni bora kumbe ovyo tu.Mwangalie Wanga,pamoja na Azamu kutumia pesa nyingi kumsajili amekua butu kabisa.Tujenge tabia ya kuthamini vyakwetu.Bado tunavijana wazuri TFF ilazimishe timu husika watz wapewe nafasi zaidi.mf.ajib,msuva,Jeba,malika ndeule,lyanga nk.
 
Tanzania ni kama Arsenal vile
 
mdau umeongea point sana,ila sina uhakika kama wahusika watakubali,kupunguza idadi ya wachezaji wa kigeni wanaosajiliwa let say wawe watano kwa timu moja,lakini kwenye mechi moja wacheze si zaidi ya wawili
 
Nikweli mdau unayoongea.Ila pia jaribu kuangalia swala la ushabiki wa marefa linavyoumiza wachezaji.mf.kijana wetu mtz ajibu jana anamtoka beki kwenda kuziona nyavu anapigiwa filimbi na kadi juu.Huyu ni mtz mwenye kipaji kikubwa lakini tunaua kipaji chake.Tazama Ngoma anvyobebwa na marefa,akiguswa tu inatolewa red kadi.Unadhani kwa hisia hizi za kuwaona wageni ni bora kuliko wakwetu tutatengeniza stricker bora?
Acha unazi maandazi wewe,kama hujui hujui tuu.
 
Kweli cc wa tz tunapenda hata vibovu kweli viwango vya hawa ngoma,kiptchetche,,kiiza nisawa na akina msuva,ajibu kweli nyie mnafata kauli za akina kaburu bishana hata kama kweli
 
Dhahabu haing'ai mpaka ipitishwe kwenye moto.Hivi mnafikiri kina Ajibu wakicheza TP-Mazembe,mtawaona wa ovyo kama sasa?sina ushabiki maandazi,naongea ukweli.Tunathamini vya nje kuliko vyetu.Onesheni kuwajali wazawa kama hawatajituma.
 
Kingoma kile kimekua kama kimungu flani hivi.Kakiguswa kanajiangusha.Wazawa walipwe sawa na wageni.Ili uwepo ushindani wa namba.Acheni ushabiki wa simba na Yanga.Tuongee kweli kiwango cha kapombe si zaidi ya Cheche? Je,singano si zaidi ya Mugireneza? Tujenge vyetu kwanza.
 
Back
Top Bottom