reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
HalllaaaNamba moja,mbili na tatu wa epl wote wamepigwa na los Blancos...hala Madrid.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HalllaaaNamba moja,mbili na tatu wa epl wote wamepigwa na los Blancos...hala Madrid.
Yan unaiongelea Real Madrid Kama timu ndogo Sana au unafikir Liverpool alikuwa anacheza na Leeds United Real Madrid n moja ya timu zenye historia kubwa Sana Kama wew n mtu wa mpira ndomana kwenye kubeti amepewa ods nyingi Sana kuliko Liverpool pia Kama wew n mtu wa mpira nazani utakuwa unazijua rekodi za Madrid Kwan hujui Madrid ndo anaongoza kuchukua hilo kombe
Hata kwenye mpira Kuna bahati pia,haikua ya kwao this year LiverMoto umewaka pia , nadhani mpira nao unaenda na bahati . Mo sio wa kukosa magoli vile. Mane sio wa kukosa magoli vile
Au ulaya napo Uchawi upo ?
Kwa ubora upi aliokuanao wa kumzidi madrid? Au mahaba niue yamezidi, angalia timu alizozitoa madrid ndio utajua hujuiAchana na mambo ya Records , mpira wa leo Liverpool alikuwa na Sababu zote za kuchukua kombe
May be Yesterday Liverpool thought that they're playing against Leeds united kwasababu ya jezi nyeupe 😀😀😀Yan unaiongelea Real Madrid Kama timu ndogo Sana au unafikir Liverpool alikuwa anacheza na Leeds United Real Madrid n moja ya timu zenye historia kubwa Sana Kama wew n mtu wa mpira ndomana kwenye kubeti amepewa ods nyingi Sana kuliko Liverpool pia Kama wew n mtu wa mpira nazani utakuwa unazijua rekodi za Madrid Kwan hujui Madrid ndo anaongoza kuchukua hilo kombe
Wanajifanya wajuaji Kama Kolowizard scMi labda simba nimeumia ila ila hawa liverpunda wache wapigwe tu kick nyingi kujifanya wajuajj
Jumapili ilikuwa mbaya sana pale simba alipopigwa ila MUNGU ni mwema nikajikuta furaha naipata huko kwenye nchi za watu.Binafsi sielewi shida ni nini, Liverpool imedominate mpira, matokeo yake kombe linarudi Madrid.
Hii ni changamoto kwa timu za England linapokuja suala la UEFA.
Real Madrid wameingia kwenye mchezo tactically, hawakuwa na haraka na walikuwa wanafanya mashambulizi ya akili.
Tukutane hapa tulioumia kwa UTOPOLO ambayo haina hata Experience ya kimataifa na viwango, yet wametupiga kimoja ; hapohapo Madrid ambayo haina kiwango cha maana wametupiga kimoja.
Je, tunalalaje?
Yan unaiongelea Real Madrid Kama timu ndogo Sana au unafikir Liverpool alikuwa anacheza na Leeds United Real Madrid n moja ya timu zenye historia kubwa Sana Kama wew n mtu wa mpira ndomana kwenye kubeti amepewa ods nyingi Sana kuliko Liverpool pia Kama wew n mtu wa mpira nazani utakuwa unazijua rekodi za Madrid Kwan hujui Madrid ndo anaongoza kuchukua hilo kombe
Amtoe PSG ooh Bahati , amtoe Chelsea ooh Bahati , amtoe mancity tena akimnyuka 3-1 Bernabeu na penyewe Bahati , Amtoe river na penyewe Bahati , basi mnatakiwa mpimwe akili .....!! Ushindi kwenye Mpira hasa mtoano ni suala la mbinu ( strategy), Ila kwenye mbio ndefu kama Ubingwa wa ligi inatakiwa innovative ( kitu ambacho ndo gurdiola , Klop, ) wanawezaMadrid bahat ilikuwa upande wao siku ya jana.
Over!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Timu za uingereza wanachokiweza ni kussuport ushoga tu uwanjani wanabinua binua viuno na makalio
Chelsea ndio team ambayo ikifika final, huwa haina masikhara kabisaa, inapigana kiume haswaa.Chelsea wasingefungwa kijinga wale wasingecheza mpira mwingu wangekuwa wanalinda sana
PSG, Man city, Chelsea na liver wote Hawa walikuwa na kila sababu ya kushinda Madrid UEFA wakipata chance chache tu imeisha huwa wanajua nn wanafanya kwenye fainali wanacheza kiume ndomana Jana hukuona chenga za Vin ifike mahali lazima tukubali Really n timu kubwa Sana n miongoni mwa timu bora duniani ndomana FIFA Club Cup wamechukua Mara nyingAchana na mambo ya Records , mpira wa leo Liverpool alikuwa na Sababu zote za kuchukua kombe
Hiyo Bahati inakuaga kwa Madrid tu?Moto umewaka pia , nadhani mpira nao unaenda na bahati . Mo sio wa kukosa magoli vile. Mane sio wa kukosa magoli vile
Au ulaya napo Uchawi upo ?
Man city na Chelsea wote walisema ivyoAchana na mambo ya Records , mpira wa leo Liverpool alikuwa na Sababu zote za kuchukua kombe