Timu za Uingereza zinakwama wapi?


Achana na mambo ya Records , mpira wa leo Liverpool alikuwa na Sababu zote za kuchukua kombe
 
Moto umewaka pia , nadhani mpira nao unaenda na bahati . Mo sio wa kukosa magoli vile. Mane sio wa kukosa magoli vile

Au ulaya napo Uchawi upo ?
Hata kwenye mpira Kuna bahati pia,haikua ya kwao this year Liver
 
Hivi unaposema Madrid haina viwango vya maana" unamaanisha nini?

Madrid kamtoa PSG, kamtoa Chelsea, kamtoa Mancity...kamfunga Liverpool. Unataka viwango gani kwenye mpira kuthibitisha timu ina viwango?
 
Achana na mambo ya Records , mpira wa leo Liverpool alikuwa na Sababu zote za kuchukua kombe
Kwa ubora upi aliokuanao wa kumzidi madrid? Au mahaba niue yamezidi, angalia timu alizozitoa madrid ndio utajua hujui
 
uzoefu umewasaidia tena bora ya jan zile man city zali tu mana alipigiwa mwingi sana
 
May be Yesterday Liverpool thought that they're playing against Leeds united kwasababu ya jezi nyeupe 😀😀😀
 
Washabiki wa Nyumbu banah na nyie Mpambane sasa mfike hata nusu fainal sio kila siku kutegemea wanaume wenzenu wawasaidie kufanya Mapinduzi
 
Jumapili ilikuwa mbaya sana pale simba alipopigwa ila MUNGU ni mwema nikajikuta furaha naipata huko kwenye nchi za watu.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Ukipewa odds nyingi maana yake wewe sio favourite, bookies wengi walimpa Livakuku nafasi ya kushinda, ndio maana livakuku alipewa odds chache
 
Madrid bahat ilikuwa upande wao siku ya jana.
Over!
Amtoe PSG ooh Bahati , amtoe Chelsea ooh Bahati , amtoe mancity tena akimnyuka 3-1 Bernabeu na penyewe Bahati , Amtoe river na penyewe Bahati , basi mnatakiwa mpimwe akili .....!! Ushindi kwenye Mpira hasa mtoano ni suala la mbinu ( strategy), Ila kwenye mbio ndefu kama Ubingwa wa ligi inatakiwa innovative ( kitu ambacho ndo gurdiola , Klop, ) wanaweza
 
Linapofika swala la Champions League Real Madrid hua hana masikhara hasa ukimwachia akaingia robo fainali, miaka ya 2004-2012 walikua wanamjulia wanamtoa mapema kabla hajafika mbali but siku hizi probability ya Real Madrid kuchukua UCL ni kubwa mno endapo atavuka salama knock out stage
 
Achana na mambo ya Records , mpira wa leo Liverpool alikuwa na Sababu zote za kuchukua kombe
PSG, Man city, Chelsea na liver wote Hawa walikuwa na kila sababu ya kushinda Madrid UEFA wakipata chance chache tu imeisha huwa wanajua nn wanafanya kwenye fainali wanacheza kiume ndomana Jana hukuona chenga za Vin ifike mahali lazima tukubali Really n timu kubwa Sana n miongoni mwa timu bora duniani ndomana FIFA Club Cup wamechukua Mara nying
 
Moto umewaka pia , nadhani mpira nao unaenda na bahati . Mo sio wa kukosa magoli vile. Mane sio wa kukosa magoli vile

Au ulaya napo Uchawi upo ?
Hiyo Bahati inakuaga kwa Madrid tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…