Raj kapool
JF-Expert Member
- Jun 29, 2018
- 1,352
- 2,160
PSG,Chelsea, man city wote walisema ivoMadrid bahat ilikuwa upande wao siku ya jana.
Over!
Real ni timu kubwa kuliko zote duniani, hilo wala halina kupinga. Wanajua jinsi ya kushinda mechi kubwa, wakishaingia 16 kuwatoa inakuwa ngumu sana, PSG, Chelsea, Mancity na Liverpool zote ni timu kubwa lakini Real ni next level. 14 European titles huku anayemfuata ana saba, tuwape heshima yao na sio timu ya kubezwa hata kidogo.PSG, Man city, Chelsea na liver wote Hawa walikuwa na kila sababu ya kushinda Madrid UEFA wakipata chance chache tu imeisha huwa wanajua nn wanafanya kwenye fainali wanacheza kiume ndomana Jana hukuona chenga za Vin ifike mahali lazima tukubali Really n timu kubwa Sana n miongoni mwa timu bora duniani ndomana FIFA Club Cup wamechukua Mara nying
Umesahau ulivyogeuzwa na Chelsea?Au sio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2242900
Pia ongelea kuwa wote hao walitolewa na Madrid kwa kutoka nyumaReal ni timu kubwa kuliko zote duniani, hilo wala halina kupinga. Wanajua jinsi ya kushinda mechi kubwa, wakishaingia 16 kuwatoa inakuwa ngumu sana, PSG, Chelsea, Mancity na Liverpool zote ni timu kubwa lakini Real ni next level. 14 European titles huku anayemfuata ana saba, tuwape heshima yao na sio timu ya kubezwa hata kidogo.
Mwaka jana real alitolewa na chelsea mtoanoReal ni timu kubwa kuliko zote duniani, hilo wala halina kupinga. Wanajua jinsi ya kushinda mechi kubwa, wakishaingia 16 kuwatoa inakuwa ngumu sana, PSG, Chelsea, Mancity na Liverpool zote ni timu kubwa lakini Real ni next level. 14 European titles huku anayemfuata ana saba, tuwape heshima yao na sio timu ya kubezwa hata kidogo.
Kwani mwaka jana na mwaka juzi nani alichukua UEFABinafsi sielewi shida ni nini, Liverpool imedominate mpira, matokeo yake kombe linarudi Madrid.
Hii ni changamoto kwa timu za England linapokuja suala la UEFA.
Real Madrid wameingia kwenye mchezo tactically, hawakuwa na haraka na walikuwa wanafanya mashambulizi ya akili.
Tukutane hapa tulioumia kwa UTOPOLO ambayo haina hata Experience ya kimataifa na viwango, yet wametupiga kimoja ; hapohapo Madrid ambayo haina kiwango cha maana wametupiga kimoja.
Je, tunalalaje?
Aliyechukua kombe ndiye alistahili,accuracy ya los Blancos ilikua ya juu mno na ndiyo wanavyokuwa siku zote na ndivyo mwana fainal anavyotakiwa awe.Liverpool alistahili kuchukua kombe
Sio ni miongoni mwa timu bora duniani, sema kwa herufi kubwa kabisa REAL MADRID NI TIMU BORA ZAIDI DUNIANI TANGU KUUMBWA KWA ULIMWENGU.PSG, Man city, Chelsea na liver wote Hawa walikuwa na kila sababu ya kushinda Madrid UEFA wakipata chance chache tu imeisha huwa wanajua nn wanafanya kwenye fainali wanacheza kiume ndomana Jana hukuona chenga za Vin ifike mahali lazima tukubali Really n timu kubwa Sana n miongoni mwa timu bora duniani ndomana FIFA Club Cup wamechukua Mara nying
Pangechimbika, kwa uefa hapo Liverpool angechapika, atake asitakeHii fainali ilitakiwa iwe chelsea na Liverpool
Sahihi kabisa!Aliyechukua kombe ndiye alistahili,accuracy ya los Blancos ilikua ya juu mno na ndiyo wanavyokuwa siku zote na ndivyo mwana fainal anavyotakiwa awe.
Mbona alibutuliwa na haohao Madrid,na hakuna hata moshi kama wa Simba pale SauziAngekua chelsea leo, pangewaka mbna. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi mnatumia vigezo gani kusema Liverpool alistahili? Mara alikuwa bora?Achana na mambo ya Records , mpira wa leo Liverpool alikuwa na Sababu zote za kuchukua kombe
Chelsea ya fainali ni habari nyingine mwamba. Hiyo robo tu uliuona moto. Ukiwauliza Modric, Courtois na Ancelotti ni team gani ngumu walikutana nayo msimu huu watakwambia.Mbona alibutuliwa na haohao Madrid,na hakuna hata moshi kama wa Simba pale Sauzi
Kuzungumzia final wakati ulipigwa robo,nikupoteza muda tuChelsea ya fainali ni habari nyingine mwamba. Hiyo robo tu uliuona moto. Ukiwauliza Modric, Courtois na Ancelotti ni team gani ngumu walikutana nayo msimu huu watakwambia.
Baada ya game ya pili Modric alisema, "baada ya ushindi wa 3-1 ugenini game ya kwanza tulijua kwa Chelsea vita ndo kwanza vimeanza"
Kabisa. Angekula km 2 hvPangechimbika, kwa uefa hapo Liverpool angechapika, atake asitake
hakuna Man u mwenye akiliKwa simba nimeumia, ila hawa livakuku safi tyuuh walivyo bondwa.
[emoji23][emoji3][emoji3][emoji23][emoji3][emoji23][emoji23]