Timu zenye nafasi ya kuwa bingwa wa EPL msimu ujao


Sina maana kwamba hawana timu ya kutetea taji lao,hapana,uwezo wanao tena mkubwa sana ila napata wasiwasi kwamba hawataweza kurudia kwasababu kama vle za uchovu na kufocus kwny ligi ya mabingwa zaidi
 
unaugua wewe yaani LOSERFOOL wachukue EPL!!!!

LABDA WALIIBE
 
Namtabiria Liverpool nafasi ya 2...na kombe litaenda Man United..chama kubwa...Chelsea ndo keshapotea kwenye ramani
 
Man united

Liverpool

Man city

Arsenal

Spurs

Chelsea

Burnley

Tukutane mwakani mwezi wa tano
 
Hawa ni sawa na mazuzu Yanga tu.….kwishney.
Jidanganye,unapigia hesabu mpira wa kistaarabu na uvivu wa wenger!!..hapo ni nguvu kazi tu hakuna utoto,huku lischteiner kule kolasinac,mbele aubame,lacanyavu..watu wanaongezwa kati,mdebwedo hakuna
 
Man city
Arsenal
Chelsea
Spurs
Man united
Liverpool
 
Nani alijuwa Leicester watachukuwa ndoo..acha mpira upigwe
 
Mbona asenali hujaiweka mkuu,,acha uboya [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Naona umeandika kama unaota, ngoja kwanza timu zisajili ziende pre season, nyingine zipate makocha and then ndo tuanze utabiri kutokana na hali za vikosi vyao, vinginevyo utakuwa unafanya ramli tu.
nasubiria uchawi wako tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…