manonawire
JF-Expert Member
- Dec 31, 2017
- 943
- 1,223
- Thread starter
- #21
Kwahiyo kwa uwezo wako wa uchambuzi wa soka kwako wewe Man City hana timu ya kugombea ubingwa msimu ujao..?
Ahahaaaaaaah..!
Kwamba Liverpool na Chelsea wana timu bora kuliko Man City..?
Ahahaaaaaaah..!
Unamuweka Man Utd kwenye mbio za ubingwa wakati huo huo unamtoa Man City..?
Ahahaaaaaaah..!
Sio bure,kuna tatizo hapa..!
Sina maana kwamba hawana timu ya kutetea taji lao,hapana,uwezo wanao tena mkubwa sana ila napata wasiwasi kwamba hawataweza kurudia kwasababu kama vle za uchovu na kufocus kwny ligi ya mabingwa zaidi