Anonymous Caller
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 1,434
- 1,930
Hapana braza.
Sasa hebu tuipende ligi yetu.Nendeni CAS
Kumbe haki kote hakunaTulishatoa ushauri humu kwamba mtengeneze umoja wenu..na ikiwa itawafaa msusie kuendelea na michezo ya ligi iliyosalia hadi mtakapohakikishiwa michezo yenu itachezeshwa kwa haki kwa level sawa na vigogo wa ligi.
Shida ninayojaribu kuinote hapa huenda ni kwasababu 70% ya timu za NBC ligi ni timu za Serikalini kwa namna moja au nyingine....
Na kwasababu huenda shabaha ya serikali sio mapenzi kwa maendeleo ya soka nchini bali ni kwa ajenda yao ya kimkakati kisiasa...hawawezi kuguswa na haya malalamiko.
Nyinyi timu underdogs (samahani kwa lugha hii) mtaonewa hadi lini.
Kwann usikubali kutoka uwanjani ikiwa unaona wazi mchezo unatawaliwa na injustices za wazi kabisa....
Ni kweli utapokwa point 3 na faini juu, lakini hamuoni ni yaleyale tu ikiwa mission ni kwamba lazima ufungwe by hook or by crook..
Na ikiwa mmoja wenu ataadhibiwa kwa similar grounds kwann msishikamane wote kuhakikisha mwenzenu haonewi?
Sasa mechi ya Mashujaa vs Simba kule kigoma ilichezeshwa kimanyoka-nyoka na ikaisha kwa goli la nje ya muda kwa penati kama uhuni wa leo.
Hivi let's be fair...hivi kuna watu wanajua kutumia delaying tactics kama waarabu...
Je ni lini na mechi gani wamewahi kuadhibiwa kwa red card?
Je pinpin camara alipoteza muda kiasi gan kwny mechi ya stellenbosch
Mashabiki wa mpira Tz hawana mapenzi na mpira,ni kelele na mihemuko,hawazijui sheria za mpira na wala hawapo tayari kujielimisha.Sasa hebu tuipende ligi yetu.
Ligi hii imetuhamisha Sisi Arsenal, Chelsea, Utd nk tukarudi kwenye ligi yetu ambayo ni 5th ranked....lakini yanayoendelea yanatia aibuu.
We huoni ulaya, Liverpool akiwa kwake kupoteza kwa Nottingham forest sio that surprise....
PSG Akiwa kwake anadroo na Le havre na watu, waamuzi wanaona sawa..
Man City anashikiliwa shati na Leicester na watu wanaona kawaida....Sisi hatutaki yaani ni heri mechi ichezwe hatq dakika 120 as ni extra mpaka tu kigogo fulani afunge ndio mech iishe.
Kuipenda sio lazima tuipende wote.Sasa hebu tuipende ligi yetu.
Ligi hii imetuhamisha Sisi Arsenal, Chelsea, Utd nk tukarudi kwenye ligi yetu ambayo ni 5th ranked....lakini yanayoendelea yanatia aibuu.
We huoni ulaya, Liverpool akiwa kwake kupoteza kwa Nottingham forest sio that surprise....
PSG Akiwa kwake anadroo na Le havre na watu, waamuzi wanaona sawa..
Man City anashikiliwa shati na Leicester na watu wanaona kawaida....Sisi hatutaki yaani ni heri mechi ichezwe hatq dakika 120 as ni extra mpaka tu kigogo fulani afunge ndio mech iishe.
Basi malalamiko yake akayaandikie huko kwenye forums za Malawi.Mashabiki wa mpira Tz hawana mapenzi na mpira,ni kelele na mihemuko,hawazijui sheria za mpira na wala hawapo tayari kujielimisha.
Kuna wengine huenda mbali zaidi hutaka watu wafikiri wanavyotaka waoKuipenda sio lazima tuipende wote.
Kwanza hakuna kitu kinachopendwa na wote.
Huwezi kuwalazimisha watu wapende kula uyoga eti kwasababu wewe unauona unanoga kama nyama.
Inawezekana kwako unaona uyoga unanoga kama nyama lakini hilo linabaki kuwa swala lako binafsi.
Kama wewe unaiona ligi huipendi kwasababu tu matokeo yaliyotokea kwenye mechi ya Simba hayajakufurahisha. Kweli hilo litabaki kuwa jambo lako binafsi.
Ligi utayoweza kuipenda wewe kwa moyo wote ni ile ambayo utaianzisha wewe.
ππππππWewe nunua kwa kigezo cha kudhamin, mwenzako anawekeza kwenye referee, ubaya ubwela, wao wamechagua upande huo