Timu zetu ndogo za NBC Ligi haya yanayoendelea mnajitakia wenyewe

Kama inakuuma chomoa tu acha kuandika malalamiko au basi nendeni CAS
 
Acheni tabia ya kuingia kwenye ugomvi wa wakubwa.
Mwambieni mwanasheria wenu akawakatie rufaa CAS.
 
Reactions: K11
Bora haya ya uwanjani yana afadhari kuliko timu ina vitimu vyake vitawi tawi,ambavyo ni uhakika kupata point 24 hata kabla ya ligi.
Mpira wa bongo umeharibiwa kabisa
 
CAS wamewapa point 3 na magori 3 shusha pressure mkuu!
 
Reactions: K11
Yaan kakuzidi mpaka msemaji Mashujaa!
🤔
 
Wewe nunua kwa kigezo cha kudhamin, mwenzako anawekeza kwenye referee, ubaya ubwela, wao wamechagua upande huo
Umemaliza kila kitu, zaidi ya hapa tuendelee na lawama na lawama. Magoli 58 ya mzunguko wa kwanza wa ligi, magoli 50 yanga alifunga hao ndugu zake.
 
pia unapowashauri usisahau kuwaambia waache utegemezi na kupokea maagizo ya gsm.
 
Utopolo mna maumivu makali, poleni sana.

Mechi ya Stellenbosch vs. Simba ziliongezwa dk 9 na refa akajiongeza za kwake 3.

Dk. 15 za jana cha mtoto.
  • England vs Iran World Cup mwaka 2022 ziliongewa dk. 27
  • Argentina vs Saudi Arabia ziliongewa dk 14
Sheria zinaruhusu dk zozote, na ndani ya dakika za nyongeza kanuni 17 lazima zifuatwe ikiwepo kanuni ya 12 (penalty).
 
Nyuma mwiko bahati mbaya sana makosa hua mnayaona kwenye mechi za wengine lakini makosa yakifanyika kwenye mechi zenu mnaona ni sahihi kabisa hapo sijagusa upangaji matokeo mnaofanya, hebu mtulize mwiko nyuma huo mechi imechezeshwa kihalali kabisa
 
Liverpool amecheza mechi 34 za ligi akiwa amepata penalties 9 tu..
Na wakati huohuo penalties 2 zilielekezwa golini kwake.

SIMBA penalties 17.....sawa na wastani wa penalty 1 kila michezo miwili....
Hakuna hata penalty moja iliyoelekezwa langoni mwa Simba..na haitatokea
 
Tatizo soccer inageuzwa kick boxing au rugby pale GSM anapoahidi million 100 kuifunga Simba. Mechi zinakuwa za maguvu na marefa wanachofanya ni kufuata sheria.

Mechi za Utopolo, hasa dhidi ya timu 12 za GSM wachezaji hata hawagusani wala kukaba. Penalty zitatoka wapi?
 
Wewe nunua kwa kigezo cha kudhamin, mwenzako anawekeza kwenye referee, ubaya ubwela, wao wamechagua upande huo
Kweli kabisa, Yanga ana hangaika na management ya team plus goal keeper, wakati Simba ana hangaika na referees.
Eti ili wafunge tano.
Anyway, tunafanya masihara but itabidi next season mambo mengi yaangaliwe including udhamini n. K.
 
Wale jamaa mtu angepeleka mguu kizembe wanauvunja, halaf yakicheza na nyuma mwiko yana cheza kama hayajala siku tatu. UBAYA UBWELA. Mshindi ataamliwa na Derby.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…