Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Waafrika wengi ni wasaliti wa nchi zao. Wanacheza kuonesha ufundi ili kusaka usajili wa kimataifa.....Nawaangalia Senegal... Hii match wangecheza kiume wangeshinda. But wanapaka paka sana rangi mpira. Wangeingia na ile spirit ya miaka ile ya Cameroon na Nigeria.
Mpira magoal haina haja ya kupaka paka rangi. Mnapata mnakimbiza golini mnachana nyavu. Nao wanataka passess na chenga za kipuuzi. Sijui aina hii ya mpira itatusaidia nini. Waangalie weusi wanaochezea teams za wazungu. Wanajituma sana.
Bora zifungwe harakaharaka tu tutoke tuache presha zisizokuwa na msingi...Nawaangalia Senegal... Hii match wangecheza kiume wangeshinda. But wanapaka paka sana rangi mpira. Wangeingia na ile spirit ya miaka ile ya Cameroon na Nigeria.
Mpira magoal haina haja ya kupaka paka rangi. Mnapata mnakimbiza golini mnachana nyavu. Nao wanataka passess na chenga za kipuuzi. Sijui aina hii ya mpira itatusaidia nini. Waangalie weusi wanaochezea teams za wazungu. Wanajituma sana.
Wanataka wawe icon individually wapate post team kubwa janualyWaafrika wengi ni wasaliti wa nchi zao. Wanacheza kuonesha ufundi ili kusaka usajili wa kimataifa.....
Ni waafrika wachache wanaojitambua
Wangekaza walau sare ingekua freshGame ilikuwa yao Senegal kabisa.
na kwa makundi yalivyo jepesi kidogo nililiona ni hili.
msimu huu tena hatutoboi knock out team hata moja.
Mtawalaume wachezaji bure tuu. Ata wewe ungekuwa unalipwa million 200 kwa week usingchezea kibarua chako. Pili uongozi wa mpira mara nyingi hauwatemdei haki wachezaji wakijankucheza timu za taiafa. Hili alishaongea sana samuel kuffo. Huo ndio ukweli.Waafrika wengi ni wasaliti wa nchi zao. Wanacheza kuonesha ufundi ili kusaka usajili wa kimataifa.....
Ni waafrika wachache wanaojitambua
Washabiki wa simba mnajua sana kujipa ma hope!!SENEGAL BADO INA NAFASI,NAAMINI AFRICA TUTACHEZA 16 BORA