balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Wamecheza Sana tu,na wamempiga on target sema golikipa wa Uholanz Kawa kiiwazi Sana.Wamefanya makosa mawili ndo yakawagharimu.Hawana washambuliaji wa kupiga amsha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamecheza Sana tu,na wamempiga on target sema golikipa wa Uholanz Kawa kiiwazi Sana.Wamefanya makosa mawili ndo yakawagharimu.Hawana washambuliaji wa kupiga amsha
Pia Holland Wana the most experienced head coach,Louis Van Gaal.Hao Holland Belgium alichezea nje, ndani... ni moja kati ya team zinazoweza kufika hatuabya Fainali... Senegal wamecheza vizuri sana kukosa umakini katika eneo la box kumewanyima point muhimu. Pengo la Mane limeonekana dhahiri ila wana nafasi ya kupenya katika kundi lao.
Mibwege sana hii mijamaa... Sijui inakuaje...mi imeniudhi sana.Bora zifungwe harakaharaka tu tutoke tuache presha zisizokuwa na msingi...
Game ilikuwa yao kabisaa
Sisi miafrika ni mijitu dhaifu...Game ilikuwa yao Senegal kabisa.
na kwa makundi yalivyo jepesi kidogo nililiona ni hili.
msimu huu tena hatutoboi knock out team hata moja.
Utaharibu mada we kinyonga.Washabiki wa simba mnajua sana kujipa ma hope!!
😂😂😂😂