Timu zetu za Kiafrika zitaleta aibu kama kawaida

Senegal atavuka makundi maana atashinda mechi mbili zijazo
 
Katika makocha wote waliokwenda world cup hakuna kocha mwenye mbinu kumshinda Luis van Gaal yule ni tactical master kwenye kufanya subirini ameshindikana Senegal walikutana na kizingiti kikubwa.
 
Pia Holland Wana the most experienced head coach,Louis Van Gaal.
 
Bora zifungwe harakaharaka tu tutoke tuache presha zisizokuwa na msingi...

Game ilikuwa yao kabisaa
Mibwege sana hii mijamaa... Sijui inakuaje...mi imeniudhi sana.
 
Afrika kwenye kombe la dunia bado sana, wachezaji muda unapoenda wanapoteza concentration. Ngoja kesho tuwaone Argentina vs Saudi Arabia tuje tusikie tena ma-imam watasema nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…