henry kisheke
Member
- Nov 2, 2016
- 98
- 52
Alliance timu ya chama fulani cha siasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kiongozi mmoja mkubwa tu huko kwenye Michezo yenu mi mtu wa Singida nafikir amesimamia vema timu ya nyumbani ipande Val na kuna mwingine pia wa huko huko Singida kivumbi ni pale mmoja ni shabiki wa kutupwa wa Yanga na yule mwingine ni wa Simba.Hahahaaaaaaa kwahiyo Singida united ndo wako vizuri zaidi ya Allince kimpira? Ndugu kumbe upeo wako kwenye soka ni wa hivyo Alliance aliyeanza chini kwa kufundisha watoto na vijana nenda Arusha ulizia mashindano ya Rolling stone soccer academy
Unamaanisha Roho ya ufipa na Mvaa magwanda asiyepitia scout?Kuna kiongozi mmoja mkubwa tu huko kwenye Michezo yenu mi mtu wa Singida nafikir amesimamia vema timu ya nyumbani ipande Val na kuna mwingine pia wa huko huko Singida kivumbi ni pale mmoja ni shabiki wa kutupwa wa Yanga na yule mwingine ni wa Simba.
Nafikir Singida itakuwa timu ya kwanza kushuka daraja msimu ujao.