Timu zilizo panda daraja 2016/2017

Hahahaaaaaaa kwahiyo Singida united ndo wako vizuri zaidi ya Allince kimpira? Ndugu kumbe upeo wako kwenye soka ni wa hivyo Alliance aliyeanza chini kwa kufundisha watoto na vijana nenda Arusha ulizia mashindano ya Rolling stone soccer academy
Kuna kiongozi mmoja mkubwa tu huko kwenye Michezo yenu mi mtu wa Singida nafikir amesimamia vema timu ya nyumbani ipande Val na kuna mwingine pia wa huko huko Singida kivumbi ni pale mmoja ni shabiki wa kutupwa wa Yanga na yule mwingine ni wa Simba.
Nafikir Singida itakuwa timu ya kwanza kushuka daraja msimu ujao.
 
Unamaanisha Roho ya ufipa na Mvaa magwanda asiyepitia scout?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…