Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Twende kaziNafikiri michezo yote itakuwa imekamilika, hivyo tupeane orodha ya timiu zilizofanikiwa kuingia hatua ya makundi na zaidi ni lini droo ya kupanga timu hizi kwenye makundi itafanyika.
Karibuni.
AahaaaaaKuna timu inaitwa utopolo nayo imefuzu baada ya kukaa miaka 25 kama CUF ya lipumba
Huyo tumemzoea ni wetu tu
Nafikiri michezo yote itakuwa imekamilika, hivyo tupeane orodha ya timiu zilizofanikiwa kuingia hatua ya makundi na zaidi ni lini droo ya kupanga timu hizi kwenye makundi itafanyika.