Na tambweKimsingi ni walewale team zingine zisajili Mazembe mchezaji Kinzumbi pekee
Kimsingi ni walewale team zingine zisajili Mazembe mchezaji Kinzumbi pekee
Kutoa mchezaji Mazembe sio rahisi kama unavyo dhani, Meshak Elia Al Ahly walifika 6B ya kibongo Mazembe wakachomoa huyo Kinzumbi sio chini ya 2B,Yanga vunja kibubu leta Kinzumbi acha skudu, konkon na gift
Na hao ndo wenye mpira wao hapa AfrikaMchele na chuya unajichuja.. nimeamini mashindano ya caf ya timu zake zile zile miaka yote.. timu zilizofika nusu fainali ya AFL 2023 ni zile zile zilizofika nusu fainali ya caf champions league mwaka 2023
Caf champions league mwaka 2023 ilikuwa na timu 4 ambazo ni
1. AL AHLY
2. WYDAD
3. ESPERENCE
4. MAMELODI
nusu fainali ya AFL mwaka 2023 timu zilizofuzu ni
1. AL AHLY
2.ESPERENCE
3.MAMELODI
4. MECHI BADO HAIJACHEZWA YA PILI ILA AGGREGATE WAYDAD ANAONGOZA 1 -0 MBELE YA ENYIMBA
hakuna timu mpya
Acha wenge,mamelody hakufika nusu fainaly ya champion
Achana naye huyo anabisha tu bureMamelodi alicheza na Waydad hatua gani ?
Hakuna tabu
Kipa kawauza,pia hakuna beki wala namba tisa.Kimsingi ni walewale team zingine zisajili Mazembe mchezaji Kinzumbi pekee
Mwakarobo fcSisi tumekufa kiume
Injinia tuletee kinzumbiMchele na chuya unajichuja.. nimeamini mashindano ya caf ya timu zake zile zile miaka yote.. timu zilizofika nusu fainali ya AFL 2023 ni zile zile zilizofika nusu fainali ya caf champions league mwaka 2023
Nusu fainali ya Caf champions league mwaka 2023 ilikuwa na timu 4 ambazo ni
1. AL AHLY
2. WYDAD
3. ESPERENCE
4. MAMELODI
nusu fainali ya super league AFL mwaka 2023 timu zilizofuzu ni
1. AL AHLY
2. WYDAD
3. ESPERENCE
4. MAMELODI
hakuna timu mpya
Atakuwa mgonjwa wa akili huyo!Mamelodi alicheza na Waydad hatua gani ?