NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
NiniiiiiAahaaaaa
Japo Mimi ni Simba 🦁 ila saido kufunga Gori tano Kwa timu dhaifu ya Police 🚓 Tanzania siungi mkono hoja yako....Timu kubwa Kama kaizer cheaf na nyingine zilizokua zinashusha ofa kwa Fistoni kalala Mayele lazima zitakwenda kugonga hodi kwenye milango ya Simba sc.
Kutokana na kiwango Cha Saidoo Ntibazonkiza maestro kabisa lazima Simba sc walambe OFA nono kutoka kwa mshambuliaji mwenye jumla ya magoli kumi na tano(15)
NALIA NGWENA nitasikitika sana endapo kiungo maestro Saidoo Ntibazonkiza kukosa timu nje ya nchi.
Nawasilisha hoja.
NAKAZIAHata afunge goli 10
Saido hamna kitu kwenye mechi za ushindani haswaa
NAKAZIAJapo Mimi ni Simba [emoji881] ila saido kufunga Gori tano Kwa timu dhaifu ya Police [emoji600] Tanzania siungi mkono hoja yako....
Hizo Gori angezifunga kwenye timu zenye ushindani sio vibonde wa NBC PREMIER LEAGUE
Saido ni mchezaji pekee mkweli hajadanganya UMRI wake [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
🤓NAKAZIA
Hujui unachoongea mkuu, saido ana miaka mingapi
Timu kubwa kama Kaizer Cheaf na nyingine zilizokuwa zinashusha ofa kwa Fistoni Kalala Mayele lazima zitakwenda kugonga hodi kwenye milango ya Simba SC.
Kutokana na kiwango cha Saidoo Ntibazonkiza Maestro kabisa lazima Simba SC walambe OFA nono kutoka kwa mshambuliaji mwenye jumla ya magoli kumi na tano(15).
NALIA NGWENA nitasikitika sana endapo kiungo Maestro Saidoo Ntibazonkiza kukosa timu nje ya nchi.
Nawasilisha hoja.
Saidoo ni mchezaji wa kawaida sana na huenda at a Denis nkane akampita kwa kiwangoHujui unachoongea mkuu, saido ana miaka mingapi
saido ataendelea kuwa simba awanyandue humuhumu,huko nje mpelekeni mayele
Timu kubwa kama Kaizer Cheaf na nyingine zilizokuwa zinashusha ofa kwa Fistoni Kalala Mayele lazima zitakwenda kugonga hodi kwenye milango ya Simba SC.
Kutokana na kiwango cha Saidoo Ntibazonkiza Maestro kabisa lazima Simba SC walambe OFA nono kutoka kwa mshambuliaji mwenye jumla ya magoli kumi na tano(15).
NALIA NGWENA nitasikitika sana endapo kiungo Maestro Saidoo Ntibazonkiza kukosa timu nje ya nchi.
Nawasilisha hoja.
Post yake ina lengo la kumkebehi SaidoHujui unachoongea mkuu, saido ana miaka mingapi
Sawa lakini hayo makapu ya magoli Kwa mechi Moja ni noumer....Hamuamini Mayele ananyang'anywa tonge mdomoni ila mnasahau Saidoo alitupia 3 mechi ya kwanza tu alipojiunga na Simba. Mechi ya mwisho kabla hii ya Polisi alitoa assist kama sikosei 2 au 3 zile goli za Sakho zilitokea kwake.
Binafsi nilikuwa sipendezwi na jinsi alivyokuwa anapoteza mipira sana hapo ila mechi yake ya kwanza alipojiunga na Simba na hizi mbili za mwisho ameonyesha kiwango kikubwa sana. Takwimu zake zinatisha na nadhani anakwenda kuwa mfungaji bora na pia mchezaji bora msimu huu. Takwimu binafsi zinambeba.
CV ya Saido ni kubwa mno, ukilinganisha na Mayele au mchezaji yeyote NBC league. Saido kwenye umri wa miaka 36 sasa hivi anamalizia football career yake Tanzania. Akitoka hapa kwetu atarejea kwao Burundi. Ameshacheza ligi kubwa duniani ikiwemo ligi kuu Ufaransa, amecheza UEFA champions league, amecheza uarabuni.
Timu kubwa kama Kaizer Cheaf na nyingine zilizokuwa zinashusha ofa kwa Fistoni Kalala Mayele lazima zitakwenda kugonga hodi kwenye milango ya Simba SC.
Kutokana na kiwango cha Saidoo Ntibazonkiza Maestro kabisa lazima Simba SC walambe OFA nono kutoka kwa mshambuliaji mwenye jumla ya magoli kumi na tano(15).
NALIA NGWENA nitasikitika sana endapo kiungo Maestro Saidoo Ntibazonkiza kukosa timu nje ya nchi.
Nawasilisha hoja.
Mbona unaongea halafu unajijibu mwenyewe??Saidoo ni mchezaji wa kawaida sana na huenda at a Denis nkane akampita kwa kiwango