NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Timu kubwa kama Kaizer Cheaf na nyingine zilizokuwa zinashusha ofa kwa Fistoni Kalala Mayele lazima zitakwenda kugonga hodi kwenye milango ya Simba SC.
Kutokana na kiwango cha Saidoo Ntibazonkiza Maestro kabisa lazima Simba SC walambe OFA nono kutoka kwa mshambuliaji mwenye jumla ya magoli kumi na tano(15).
NALIA NGWENA nitasikitika sana endapo kiungo Maestro Saidoo Ntibazonkiza kukosa timu nje ya nchi.
Nawasilisha hoja.