Timu zilizoongoza kwa mapato ya mlangoni 2020/21 Vpl na Fdl hizi hapa

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Zione na uone utofauti ulivyo

FB_IMG_16323002207993337.jpg

FB_IMG_16323027556387309.jpg

FB_IMG_16323026716084349.jpg
 
Shida yenu ndo ipo hapo,mnawaza kushindana na Simba kwa kila jambo mtachelewa.
Hivi mwezi huu nyie Makolo FC wa humu jf mmeandika maandiko mangapi mabaya dhidi ya Yanga halafu unasema wanayanga ndo wanashindana...sio nyie ndo mnashindana na hii timu kubwa?

Sasa kama hapa na hizi takwimu unataka kubisha pia...NI UZUNI KWAKWELI [emoji3525][emoji3525][emoji3525]
 
Mbna kemcho Fc Wamekuwa Wa 2 na Tambo zooote ziiiileee [emoji3][emoji3][emoji3]
Tumezoea hata tukiwa wachache uwanjani ubingwa lazima ulikuwa wetu tofauti na nyie manyani fc
 
Achana nae mshamba sana uyo na yule mwenzi OKWIBOBANSUNZU
Hivi mwezi huu nyie Makolo FC wa humu jf mmeandika maandiko mangapi mabaya dhidi ya Yanga halafu unasema wanayanga ndo wanashindana...sio nyie ndo mnashindana na hii timu kubwa?

Sasa kama hapa na hizi takwimu unataka kubisha pia...NI UZUNI KWAKWELI [emoji3525][emoji3525][emoji3525]
 
Hivi mwezi huu nyie Makolo FC wa humu jf mmeandika maandiko mangapi mabaya dhidi ya Yanga halafu unasema wanayanga ndo wanashindana...sio nyie ndo mnashindana na hii timu kubwa?

Sasa kama hapa na hizi takwimu unataka kubisha pia...NI UZUNI KWAKWELI [emoji3525][emoji3525][emoji3525]
Nyinyi mko juu zaidi ya Simba kwenye takwimu za Yanga na Simba.
Yanga ndo timu ya kwanza kutolewa cafcl bila kufunga hata goli moja tena hatua za awali.
 
Kubali tu mashabiki wa Simba wanashughulika na Yanga zaidi kuliko mashabiki wa Yanga kushughulika na Simba..kitaalam hii inaitwaje?
 
Hayo ni mapato, wala si idadi ya watazamaji. Kumbuka viingilio vinatofautiana kulingana na lengo la timu husika, Timu A inaweza ikaweka kiingilio cha chini sh. 3,000/= na timu B ikaweka sh. 5,000/=. Timu A wakiingia washabiki 1000 itapata sh. 3,000,000/= na timu B wakiingia mashabiki 700, itapata sh. 3,500,000/= Timu B itaonekana ina mapato mengi (sh. 3.5M) lakini imeingiza mashabiki wachache (700).

NB: Nimesema inategemeana na parameters nyingine
 
Kubali tu mashabiki wa Simba wanashughulika na Yanga zaidi kuliko mashabiki wa Yanga kushughulika na Simba..kitaalam hii inaitwaje?
Inawezekana ndio siri ya mafanikio yao
 
Back
Top Bottom