OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Yanga imekuwa ya kwanza kutolewa ππππNyinyi mko juu zaidi ya Simba kwenye takwimu za Yanga na Simba.
Yanga ndo timu ya kwanza kutolewa cafcl bila kufunga hata goli moja tena hatua za awali.
Haa wapi,Simba tuko bize na kuongeza mikataba minono kwenye club yetu.juzi tumeongeza dili la Air Tanzania na jana Emirates Aluminium & Glass Co.Ltd.Kubali tu mashabiki wa Simba wanashughulika na Yanga zaidi kuliko mashabiki wa Yanga kushughulika na Simba..kitaalam hii inaitwaje?
Sisi kawaida yetu ni kuweka rekodi na tunazivunja wenyewe.Hii ndo sehemu pekee ambayo uto ameshika namba moja msimu huu ulioisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duh akili za Kibashite hiziHayo ni mapato, wala si idadi ya watazamaji. Kumbuka viingilio vinatofautiana kulingana na lengo la timu husika, Timu A inaweza ikaweka kiingilio cha chini sh. 3,000/= na timu B ikaweka sh. 5,000/=. Timu A wakiingia washabiki 1000 itapata sh. 3,000,000/= na timu B wakiingia mashabiki 700, itapata sh. 3,500,000/= Timu B itaonekana ina mapato mengi (sh. 3.5M) lakini imeingiza mashabiki wachache (700).
NB: Nimesema inategemeana na parameters nyingine
Anaeshughulika na mikataba uchwara babra na sio nyie humu,nyie mkiweka bando simu zenu ni kuizungumzia Yanga tu.Haa wapi,Simba tuko bize na kuongeza mikataba minono kwenye club yetu.juzi tumeongeza dili la Air Tanzania na jana Emirates Aluminium & Glass Co.Ltd.
Hayo mapato umeyafungia kabatini kwako?Simba lazima alikuwa na mapato mengi sababu ya CAFCL
hizi takwimu zinamuumbua sana kanjibai alietupga kamba eti simba ndo inaongoza kwa mapato ya uwanjani na mashabiki (eti kati ya watu 10, 8 ni mashabiki wa simba)Zione na uone utofauti ulivyo
View attachment 1948204
View attachment 1948235
View attachment 1948237
Sasa Yanga anashindana na Simba kwa kipi?Shida yenu ndo ipo hapo,mnawaza kushindana na Simba kwa kila jambo mtachelewa.
ukiacha mechi ya simba na yanga ambayo mara nyingi huingiza mashabiki wengi, mechi zingine ni mara chache sana hizi timu (yanga na simba) kuzidisha mashabiki 7000 katika mechi zao.Takwimu hizi zinatia shaka si kwa timu moja tu bali kwa timu zote. Mfano, mashabiki 141,681 wa Yanga kwa mechi 19 za nyumbani ni sawa na wastani wa mashabiki 7457 kwa kila mechi, na mashabiki138,518 wa Simba kwa mechi 19 za nyumbani ni sawa na wastani wa mashabiki 7290 kwa kila mechi. Je, wastani huu ndio hali halisi ya mahudhurio ya mashabiki pale Kwa Mkapa au Uhuru? Hilo swali nawaachia
View attachment 1948302
Watoto wa juzi wameaminishwa Simba ndio timu kubwa TZ, record zinawakataa wanakaza vichwa.Hivi mwezi huu nyie Makolo FC wa humu jf mmeandika maandiko mangapi mabaya dhidi ya Yanga halafu unasema wanayanga ndo wanashindana...sio nyie ndo mnashindana na hii timu kubwa?
Sasa kama hapa na hizi takwimu unataka kubisha pia...NI UZUNI KWAKWELI [emoji3525][emoji3525][emoji3525]
Mechi za mikoani wanajaza sana, ila advantage inakuwa kwa mwenyeji.ukiacha mechi ya simba na yanga ambayo mara nyingi huingiza mashabiki wengi, mechi zingine ni mara chache sana hizi timu (yanga na simba) kuzidisha mashabiki 7000 katika mechi zao.
Kwenda kiwanjan haimaanishi kwamba ndo una mashabik wengihizi takwimu zinamuumbua sana kanjibai alietupga kamba eti simba ndo inaongoza kwa mapato ya uwanjani na mashabiki (eti kati ya watu 10, 8 ni mashabiki wa simba)
haya sasa uongo haukeshi. KIMEUMANA.
ni kweli, na ndio zinawabeba sana hao wengine.Mechi za mikoani wanajaza sana, ila advantage inakuwa kwa mwenyeji.
Upo nje ya mada mkuu, mleta uzi anazungumzia msimu wa 2020/21Kwenda kiwanjan haimaanishi kwamba ndo una mashabik wengi View attachment 1948315View attachment 1948314