escrow one
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 1,473
- 2,868
Nyie si mnasemaga hamtaki mambo ya historia mnataka current issues??Apa vzur tuweke takwimu sawa tuchukue misim ata mitatu au minne tujue nan anaongoza kwa ujumla sio kutumia msimu mmoja tu kuanza kujidai
Hadithi njoo uongo njoo,utamu kolea kuelekea Sept 25 porojo blaablaaa na propaganda zimeanza,akili ku mkichwa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Mbna kemcho Fc Wamekuwa Wa 2 na Tambo zooote ziiiileee [emoji3][emoji3][emoji3]
Paukwaaas,pakawaaa kuelekea dabi ya kariakoo.Hivi mwezi huu nyie Makolo FC wa humu jf mmeandika maandiko mangapi mabaya dhidi ya Yanga halafu unasema wanayanga ndo wanashindana...sio nyie ndo mnashindana na hii timu kubwa?
Sasa kama hapa na hizi takwimu unataka kubisha pia...NI UZUNI KWAKWELI [emoji3525][emoji3525][emoji3525]
Nyinyi si mlikua mnakazania Haji ndo alikua anaita mashabiki wa Simba uwanjani!.
haya sasa majibu ndo hayo apo Yanga mnaongoza kwa mapato ya mlangoni.Haji akuwa na nguvu ya kuita mashabiki Simba.
Kuweka kumbukumbuka sawa si dhambi tungalie kutoka mwaka 2017 ad leo nan aliongoza kuingiza mashabik na nan aliongoza kuingiza mapato ,maana kuna wengine wanajaji kama vile ili suhala ni geni kumbe ni data tu zinabadilika kwa msimu,lkn tukirud ktk ukwel hiz data zimepikwa kuna timu zipo mikoan simba na yanga zinaenda cha ajabu zinakosa ata watu elf 20 ebu niambie mechi gan ambayo simba au yanga anaenda uko alaf mashabik hawafik ata elf 10Nyie si mnasemaga hamtaki mambo ya historia mnataka current issues??
leo utamu wa historia umetoka wap??
Zione na uone utofauti ulivyo
View attachment 1948204
View attachment 1948235
View attachment 1948237
Wameongoza hatukatai lakni je wana akili!?Zione na uone utofauti ulivyo
View attachment 1948204
View attachment 1948235
View attachment 1948237