Timu zilizopanda daraja kushiriki ligi kuu mbalimbali duniani kwenye ulimwengu wa soka.

Timu zilizopanda daraja kushiriki ligi kuu mbalimbali duniani kwenye ulimwengu wa soka.

Half american

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
38,283
Reaction score
97,793
Tukiwa tunaelekea mwishoni mwa misimu ya ligi mbalimbali za mpira wa miguu duniani, huu ni uzi maalum wa kuhabarishana, kuzitambua, kutoa pongezi na kuzikaribisha timu zilizofanikiwa kupanda daraja kucheza ligi kuu mbalimbali duniani kwa msimu ujao wa 2024/2025.

√ TANZANIA-NBC PREMIER LEAGUE.
Tukianzia hapa nyumbani kwenye ligi yetu pendwa kabisa ya NBC tunawakaribisha

1. KenGold FC​

KenGold ndio mabingwa wa NBC Championship Wakiwa kileleni mwa jedwali wakiwa na alama 70, KenGold imekuwa timu bora sana msimu huu imefanikiwa kucheza mechi 30, ushindi 21, droo 7 na kupoteza 2.
images (4).jpeg

2.Pamba FC​

Wakishika nafasi ya pili wakiwa na pointi 67, Pamba pia wamejihakikishia kupanda Ligi Kuu. Wamekuwa na mbio za kuvutia na wameshinda michezo 20, sare 7, na kupoteza 3.
IMG_0030 (1).jpeg


√ ENGLAND - ENGLISH PREMIER LEAGUE (LIGI INAYOFUATILIWA NA KUPENDWA ZAIDI )
1. Leicester city
Leicester ilichukua ubingwa wa PL mwaka 2016 na kuushtua ulimwengu wa soka, lakini walishuka daraja kwenye msimu uliopita, ni furaha kwa wapenzi wa soka na mashabiki wa timu hiyo yenye maskani yake KING POWER stadium kwa kurejea tena kwenye ligi kuu ya nchini Uingereza.
0jGDLjI2DbdszeqvTQ8AEeLuFMXoRYcGEOfz-GWgZAx2YGIr7uY6dMBMmvvWoQvwUAPACAmHWRBJypiolEIHJ-Vnc-xDUc...png


2. Ipswich Town Fc
Baada ya kiu ya muda mrefu wa miaka 22, timu ya ipswich inafanikiwa kukata tiketi ya kushiriki ligi kuu ya EPL kwa msimu ujao. Ikumbukwe Ipswich town ilishuka daraja mwaka 2002.
images (6).jpeg


√ SPAIN-SPANISH LEAGUE(Laliga)
Mpaka sasa haijaeleweka, Laliga 2 msimamo upo hivi hadi sasa
IMG_20240505_133609.JPG
 
Bora hizi Leicester na Ipswich pengne zitaleta ishindani,
Hawa kina loton, Sheffield na bunley sijaona ishindani.
 
√ITALY -Serie A
1. Como FC
Como are now officially promoted to the Italian Serie A, becoming the second team of the Serie B to make it to the first division next season.
images (13).jpeg


2 Parma calcio
Are now officially promoted to the Italian Serie A, becoming the 1st team of the Serie B to make it to the first division next season.

images (14).jpeg
 

Attachments

  • images (14).jpeg
    images (14).jpeg
    44 KB · Views: 5
Back
Top Bottom