Timu zitakazoshiriki clabu bingwa Duniani

Timu zitakazoshiriki clabu bingwa Duniani

curie

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2020
Posts
699
Reaction score
1,600
Wale waliokuwa wanabishana nan mkubwa
Screenshot_20230403-213118_Twitter.jpg
 
Toa takataka hivi simba mba vikombe vingapi kimataifa?

Vikombe vya ligue ya ndani mna vingapi?

Tuanze hapo kwanza tuone ukubwa wenu..

Madrid, Liver, manchester Chelsea, Ac milan, Barcelona wamekuwa wakubwa kwa sababu Wana vikombe vya kutosha kabatini.

Nyie ukubwa wenu ni upi?
 
Kichwa cha uzi na habari kamili iliyopo kwenye tweet ni tofauti japo ninawasiwasi kuwa tweet ya mchongo maana hilo jambo ninavyojua mpaka 2025 sio 2023
 
Iyo ndio maana halisi ya wazee wa kujitututumua, Mbumbumbu fc katika ubora wao.[emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom