Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,363
- 10,265
Endeleeni kuogopa tu.Tuvumilieni tu sababu tunaogopa mapandikizi
Kwani mwanzo kabla ya kwenda huko, walilala wapiii?Cha muhimu ni nyumba usiangalie imejengwa wapi. Hivi ambao hamjajenga nyumbani mtalala wapi?[emoji16]
Kama walikua na chumba kimoja kwa wazazi wao hakitawatosha sababu wengi wana familia 😃Kwani mwanzo kabla ya kwenda huko, walilala wapiii?
Hivi kumbe Kiranja Mkuu ni ngosha?Hii mijengo uliyoikuta huku nchini imejengwa na sisimizi?
Mfano ukirudishwa huku keshokutwa utalala vichakani au..... Kiranga ndugu yangu karibu usukumani
Ni jirani na baba wa taifa/ MagufuliHivi kumbe Kiranja Mkuu ni ngosha?