Timua timua ya Trump, mjifunze mkienda nje mjenge kwenu, tengenezeni kwenu hamuishi mileleee huko

Timua timua ya Trump, mjifunze mkienda nje mjenge kwenu, tengenezeni kwenu hamuishi mileleee huko

Funzo pekee ni usiende nchi za watu bila vibali husika.
Watanzania detention wako 24 tu. Walioingia kipindi cha mwaka au miaka miwili, zaidi wote unaowajua wa over 3 years hamna aliyetikiswa.
Msiropoke. Kingine mbona wengi sana diaspora wana miji.
Watanzania wengi mna wivu nimeona hili kwenye swala la USAID pia.
Jifunzeni kufatilia taarifa.
 
Wakirudi watajenga, wakiwa huko wamjengee nani huku kwao.

Hawataweza kuishi huku ikiwa wako kule, hivyo wakati sahihi wa wao kujenga ni pale watakaporudi hapa.
 
Kuna jamaa mmoja anaitwa mangi, alizamia huko miaka mingi, akapata kazi ya udreva wa magari makubwa; maisha yake yote yalikuwa ni kula bata na hakutaka kuoa kabisa, kwa sababbu alisema 'unafugaje ng'ombe wakati uhakika wa kupata maziwa kwa gharama ndogo upo?

Sasa hivi amezeeka, hana mtoto wala mke, anaona aibu ata kurudi Tanzania,kwa sababu hakuna alichowekeza; na kwa umri wake sasa ni 'liability' akiedndelea kuishi huko, atashindwa kulipa bili.​
 
Back
Top Bottom