TIN Application

TIN Application

somvi

Member
Joined
Aug 14, 2015
Posts
17
Reaction score
4
Habarini, naomba kuuliza kuhusu taratibu za kuomba na kupata Tax identity Number ya TRA. itanigharimu nini ili niipate.
mwenye kujua anifahamishe.
 
nenda ofisi ya TRA iliyopo karibu utapata bureeeeeee
 
Habarini, naomba kuuliza kuhusu taratibu za kuomba na kupata Tax identity Number ya TRA. itanigharimu nini ili niipate.
mwenye kujua anifahamishe.
Ni bure, kwa Dar. Inakuchukua masaa 2 au 3 tu kuipata TIN.
 
Iko hivi, watu wanakua fooled au hawapati taarifa kamili.

Tin ni namba ya utammbbulisho ya mlipa kodi, ni bure kupewa ila ili upewe hiyo bure lazima utekeleze masharti yake, yaani uwe unalipa kodi au ulipe kodi kwanza ndio upewe kitambulisho kama mlipa kodi.

Kama ndio unaanza biashara lazima uende tra ufanyiwe usaili wa biashara yako, ukadiriwe kodi, ulipe kisha tin utapewa bure.

Huwezi kupewa tin kama sio mlipa kodi, lazima kwanza ulipe kodi ndio upewe utambulisho kamamlipa kodi.

Tin ni bure, ila ili upewe lazima ulipe kodi, ni sawa na kuambiwa kitambulisho cha shule cha mwanafunzi ni bure lakini ili upewe kitambulisho lazima usajiliwe katika hiyo shule kama mwanafunzi halali unaelipa karo na michango mingine.

Kama wewe ulishakua unalipa kodi hiyo tin ukifika tu ofisi ya tra kama wana uwezo wa kuprosesi hasa ofisi za mkoa au wilaya kubwa unapewa ndani ya muda mfupi.

Tembelea ofisi za tra.
 
Mkuu mfano unayo driving licence watakukonsider kama mlipakodi ili uweze kuipata hiyo bure? Naomba unieleweshe hapa. Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom