TIOB, ushauli wahitajika wanandugu

Chiefmweusi

Member
Joined
Sep 21, 2012
Posts
87
Reaction score
9
Mimi ni mwanafunz wa IFM naingia mwaka wa 2 octaber nachukua BBF ni member wa TIOB toka April mwaka huu lakin najishauri sana kufanya mitihan yao akat nikiwa na naendelea na masomo yang hapa IFM, wana JF naombeni ushauri kulingana na muda,umuhimu wa mitihani ya TIOB na masomo yang hapa IFM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…