Mimi ni mwanafunz wa IFM BBF naingia mwaka wa 2 october ni member wa TIOB toka April mwaka huu kakin najishauri kufanya mitihan ya TIOB akat naendelea na masomo yangu hapa IFM, wana JF naomben ushauri wenu kulingana na umuhimu wa mitihan ya TIOB,Muda na masomo yangu hapa IFM