TIOB, ushauli wahitajika wanandugu

TIOB, ushauli wahitajika wanandugu

Chiefmweusi

Member
Joined
Sep 21, 2012
Posts
87
Reaction score
9
Mimi ni mwanafunz wa IFM BBF naingia mwaka wa 2 october ni member wa TIOB toka April mwaka huu kakin najishauri kufanya mitihan ya TIOB akat naendelea na masomo yangu hapa IFM, wana JF naomben ushauri wenu kulingana na umuhimu wa mitihan ya TIOB,Muda na masomo yangu hapa IFM
 
ningekushaur lakini mim sijui maana ya hiy TIOB
 
hizi shule laini za ifm average40% , , ndo maana unataka kufanya mitihaniya TIOB , HUWEZI KUKUTA BAF AU CMA WA MUCCoBS ANAPATA MUDA WA KUFANYA VYOTE KWA PAMOJA
 
Back
Top Bottom