Tetesi: Tip From Deep Inside: Uchunguzi wa Kesi 9 za Ufisadi Mkubwa Umekamilika.Soon Vigogo Kizimbani

Vyeti Feki kwa jeshi la police kabla hatujafikia tamati.
Mchanga wetu na ACACIA kabla hatujafikia tamati.
Kibiti ole wao kabla hatujafikia tamati.
Lowasa anaitajika akajieleze police.

Sasa sijui tunamaliza na lipi na sijui kesho kutwa serikali hii ya ccm itaibuka na kiki ipi tena.
 
Pasco hana clue ya maana ....anachokoza tu kujua kama public ina any information ....in short wazito wengi matumbo joto ....hakuna mwenye uhakika how far JPM atagusa ....kinachowaogopesha ni JPM kuonesha kutokujali matokeo ya hatua zake dhidi ya walioibia taifa ....hana cha kupoteza na mwisho huu uzi utawafikia ....ukisikia Chenge kaguswa unafikiri itaishia hapo? Tulieni JPM awashangaze mkose maneno ....
 
What is the impact of these cases in the economy? Restricting withdrawal from someone account does it help economy?
 
Mkuu Paskali siku hizi nimeanza kukuelewa sana, unaandika kifalsafa sana. Inabidi habari yako yote isomwe in "totality" halafu ndiyo utoe maudhui kwa ujumla. Kwa mfano hii habari yako ina "mwanzo" na "mwisho". Lakini imekuwa "summarized" na Sentensi yako ya mwisho kabisa. Brilliant! keep it up
 
WAKUU huyu jamaa si ndio alikuwa Mkurugenzi wa habari na mawasiliano Ikulu Wakati wa Kikwete?Inamaana baada ya kutumbulia jipu ndio kaamu kumwanika JPM Kiasi Hiki?
Tetetete jambazi limeamua kumuanika jambazi mwenzie la mali za umma


Swissme
 


Kwa sababu Rugemarila na singa singa walirukishwa kichura? hahahahah..wewe Paskali wewe una mambo haswa!
 
Mh!! Wakati wadau wenye kusaini madili yote ambayo leo yamekuwa mazimwi ama saratani yakula kidogo kidogo huku raia wakisema tuko sawa ilihali afya inazidi kuwa mbaya mbaya!!! Wameambiwa waachwe wapumzike!!!
 
Mh!! Wakati wadau wenye kusaini madili yote ambayo leo yamekuwa mazimwi ama saratani yanakula kidogo kidogo huku raia wakisema tuko sawa ilihali afya inazidi kuwa mbaya mbaya!!! Wameambiwa waachwe wapumzike!!!
 
Tunataka habari njema sio visa na visasi. Makesi yasiyoisha ama yanayoishia watuhumiwa kudeki hospitali hayawezi kubadili maisha yetu watu maskini.
Tuongee kilimo,ufugaji,elimu,afya,nishati hasa umeme nk. Hizi kesi sioni zikimtatulia mwananchi shida zake kwani huishia adhabu za kuchekesha. Chenchi ya Rada tuliambiwa inarudi lkn hatukuona chamno licha ya makelele mengi. Hatutaki siasa uchwara huku wananchi wakiumia
 

Hivi kati ya walioliibia taifa hili, uncle anakosekana kweli? Uuzwaji wa nyumba za serikali, kivuko cha bagamoyo, samaki wa yule jamaa, nk. Watch it. He is not clean to that extent.
 
Mfano hai ni hii kesi ya kwanza kati ya hizo 9 iliyopandishwa mahakamani, serikali tayari imeishashindwa hata kabla kesi haijaanza kusikilizwa!.
Mkuu Pasco,kama mwanasheria hapo tayari umeshaingilia uhuru wa mahakama.Usiwe mwanasheria wa mitandaoni kama Kibatala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…