Tip: Hire a freelancer, it saves you alot of money.

Tip: Hire a freelancer, it saves you alot of money.

mteule

Senior Member
Joined
Aug 2, 2007
Posts
153
Reaction score
263
Habari Jf members
Kwa wale wajasiriamali wote mnaosoma habari hii, Ninatoa huduma za book keeping, Taxation, payroll, pamoja na ushauri wa jinsi ya kuongeza biashara yako ikue. Napatikana dar es salaam.

Nina Degree ya Accounts, na ujuzi wa miaka 3, nikifanya kazi na small businesses. Nimeona nijikite huku hasa baada ya kuona watu wengi wamekopa benki, na mikopo hiyo inahitaji kuzungushwa kwenye mtaji kwa muda mfupi ili kurudisha mikopo hiyo.
PLEASE don't hesitate to contact me through this number. +255683392119. Thanks.
 
Habari Jf members
Kwa wale wajasiriamali wote mnaosoma habari hii, Ninatoa huduma za book keeping, Taxation, payroll, pamoja na ushauri wa jinsi ya kuongeza biashara yako ikue. Napatikana dar es salaam

kinachomata ni contact zako mkubwa,toa detail za kutosha watu wengi wanashida na watu kama nyiyi,sasa ukieleza juujuu watakupataje?
Ebu weka contact bwana na hilo nalo linaitaji kukaa darasani?
 
Habari Jf members
Kwa wale wajasiriamali wote mnaosoma habari hii, Ninatoa huduma za book keeping, Taxation, payroll, pamoja na ushauri wa jinsi ya kuongeza biashara yako ikue. Napatikana dar es salaam

Uko serious kweli mkuu, yaani unapost kuhusu issue nyeti kama hii bila hata kuweka simu. wengine hatujui jinsi ya kumPM mtu
 
Uko serious kweli mkuu, yaani unapost kuhusu issue nyeti kama hii bila hata kuweka simu. wengine hatujui jinsi ya kumPM mtu

napatikana kwa +255683392119
 
Back
Top Bottom